Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa

Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa

kwa kweli ni ushindi hata kwenye historia tuliom anguko la tawala moja linakuja tawala lenye nguvu kila mtu ni shahidi millya tunakukaribisha kwa thati kama nayo dhamira yako ni ya dhati la sivyo tutakurudisha ulikotoka kama umetumwa,chadema nguvu ya umma inafanya kazi
 
Nasikia kaenda brazil naomba akakabwe na mfupa wa samaki afe......

Crashwise, ni wewe au mwingine? Maombi haya si ya busara kwa kiongozi wako. Sikumchagua JK na sijawahi kuipigia CCM toka mageuzi yameanza ila nina staha ya kutosha kwa viongozi wangu. Daudi alipoarifiwa kuwa, aliyekuwa anaisaka roho yake (yaani mfalme Sauli) ameuawa na yule aliyeleta taarifa akijitapa mbele yake kuwa ndiye aliyemwuua; aliagiza moja kwa moja na yeye auawe.
 
Katika Bahari ya Shamu walivuka kwa miguu. Farao na jeshi lake wakamezwa na maji. Amina.
 
kwani waliompora ubunge ni CCm-arusha au Ikulu

mimi nilitazamia mkanganyiko utokee (serikalini)Ikulu

Mungu ndie anaejua jinsi ya kujibu maombi, yeye huona ndani ya mioyo ya watu. Unajua kuna kitu tunakisema kila siku (Haki ya Mungu) sijui hua tunamaanisha nini?
 
Kuna mama aliangua kilio siku Lema anavuliwa ubunge akaachia sala kwenye machozi+ Mfungo wa Kamanda Lema, kiukweli Mungu ampe maisha marefu Lema
 
Ndugu wanaJf kama mnakumbuka baada ya sakata la kuvuliwa ubunge na mahakama katika hali ya mizengwe Mh.Lema alisema nafunga kwa siku saba. Na kama mnavyoona mkanganyiko ulioko Arusha ndani ya CCM ni dhahiri kuwa Mungu anajibu mapema. Naona tusubiri mengine mengi tu!!

Ni Lema huyuhuyu aliyeripotiwa na magazei kadhaa hapo awali kukesha akiiombea maiti irejeshewe uzima hadi ilipooza na kulazimika kwenda kuizika au....?
 

Ni Lema huyuhuyu aliyeripotiwa na magazei kadhaa hapo awali kukesha akiiombea maiti irejeshewe uzima hadi ilipooza na kulazimika kwenda kuizika au....?

Mpenzi ya Mungu ndio msingi wa maombi. "They asked by they received not because they asked amiss". Unaomba na unakubali matokeo. Acha kumbeza Lema, yasije yakakukuta.
 
Back
Top Bottom