Picha ya leo! Ingekuwa tanzania ingekuwaje?

Picha ya leo! Ingekuwa tanzania ingekuwaje?

mchambakwao

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
77
Reaction score
14
391800_311164852239087_100000367230986_1096258_911395927_n.jpg
 
Uyu ni Mzee Kibaki wa Kenya, amefanana na Wassira.
 
Hata Tanzania zipo kwani nyie hamjaiona ya Mkulu wenu akiwa amevaa kimini halafu ananing'iniza funguo? Kama sister duu? Imejaa tele kwenye facebook. Mkitaka nitawaletea. Ila kwa order maalum kwenye pm, manake hapa naweza kula ban, halafu nikaharibu staha yangu.
 
sijakuelewa mchambakwao! ndo nn hiyo uliyomaanisha
Mkuu huu ni uhalisia wa viongozi wengi wa kiafrika ndani ya mioyo yao.Kama umefuatilia hapa Mombasa kuna kikundi cha watu wanaoaka Mombasa ijitenge,na je Tanzania viongozi si kama wanyama tu ndani ya mioyo yao wasiopenda kufuatilia matatizo ya wananchi wao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom