Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

Chenge amemuumbua Mnyika...
Sasa naanza kuquestion uelewa wa Mnyika ambaye kwangu mimi namkubali sana!

Rejao, kweli maneno ya Chenge yana-shake uelewa wako juu ya Mnyika??
Ni faraja kubwa watanzania wanajionea kuwa ni nani adui wa maendeleo na ni nani anayepambania maendeleo.
Wingi wa wabunge wa CCM ndo unaotumika kurudisha maendeleo yetu ila siku njema haziishi ipo siku mtakua wapinzani alafu tutawasikiliza.
Wait and see green guard.
 
Kuhusiana na Bajeti zinazoidhinishwa na Bunge mfano fungu la Tanesco TPDC etc lakini uwa wanapopokea mapato toka vyanzo mbalimbali na hawaleti mchanganuo wa matumizi kwenye kamati za Bunge ambavyo inatakiwa kikatiba. Mnyika ni zaidi ya vichwa 50 vya Magamba
 
Chenge amemuumbua Mnyika...
Sasa naanza kuquestion uelewa wa Mnyika ambaye kwangu mimi namkubali sana!

Pole Rejao, kwani ni kwaida yako kuwa huwa una makengeza ya macho na masikia. Kama hukusikia hoja ya Mnyika mara baada ya Chenge alifafanua hadi vijisenti akawa anatikisa kichwa kukubali. Kwa ufupi Mnyika alikuwa napendelekeza accountability ya pesa ambazo zinakusanywa na mashirika na taasisi. sasa wewe Rejao unaona giza!!!!! Shame on you
 
Namchukia chenge, ccm wanajua kuwa ni miongoni mwa wanaokipotezea mvuto, eti ndio mtetezi wao bungeni! ovyo kabisa!!!!!
 
1. MOD naomba ile thread ya Mnyika ya jana muirudishe maana nimeitafuta bila mafanikio. pia naomba thread hizi ziunganishwe na zikae mpaka bunge limalize session hii.

2. Ni mfano wa wazi kuwa wingi wa CCM bungeni unaliumiza taifa na inabidi Watanzania tujitahidi kuchagua wabunge wengi wa CHADEMA kila nafasi inapojitokeza maana huu mpango wa kupiga kura unaliumiza taifa sana.

3. Chenge ametetea ufisadi tu maana Mnyika hakutaka sheria ibadilike japo alishauri in future inabidi uje mswada wa kubadili sheria iwe kama ya Uganda ambapo kunakuwa na Parliamentary Budget Committee. Alichokuwa anapigania Mnyika ni tabia mbovu ya taasisi za umma kukusanya mapato kutoka kwa wanachi na kuyatumia bila bunge kupewa taarifa na akataka japo kwa Taasisi hii basi kamati husika ya bunge ipewe copy ya budget ili iweze kuipitia.

My take. Hutegemei CCM wakubali hili swala maana huko ndo fedha huchotwa kama zile za Jairo na kukinufaisha chama na serikali yake kula fedha zetu bila kuulizwa na mtu.
 
Mnyika ni mtetezi wa taifa na watanzania kwa ujumla. wakati wa kampeni hahitaji kunishawishi ili nimpe kura yangu, tayari anayo. Najivunia akili hii ya kitanzania.
 
Wadau naangaelia Bunge live TBCCM, Mh Mnyika anaendelea kuitetea nchi lakini magamba wamekomaa na kutetea ulaji na kuongeza mamlaka ya rais.

My take, Mnyika anafaa kupewa kazi ya u-watchdog ili serikali inyooke. na naomba sana Mungu come 2015 CDM tuchukue nchi ili huu udahalimu ukome.

Mkuu nilikuwa nangalia pia marekebisho ya kamanda Mnyika yalikuwa na mantinki kubwa sana kwa sheria husika.Hili la Raisi kuteua mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi wa taasisi husika accountability ipo wapi hapa?kama wote ni wateule wa raisi?
Mytake. Hii miswada inayopitwa kwa ndiyo kwa sababu ya uwingi wa wapasha mabenchi wa magamba zinatafuna hii jamani.
 
Mnyika kanifurahisha sana, eti anasema kwa kipindi chote nilichokaa hapa bungeni..halafu anthubutu kutaja (Mwaka mmoja tu)

Nimuulize Mnyika, kwani toka umekuwa bungeni bajeti imesomwa mara ngapi? Unafahamu namna bajet za agencies za serikali kama vile EWURA,TPDC n so on zinavyowasilishwa na ni nani anayezipitisha na kuzisimamia? Inabidi Mnyika usome kwanza sheria ya uanzishwaji wa hizi agencies ndio ukaongee bungeni kama ulivyofanya leo.
 
Chenge amemuumbua Mnyika...
Sasa naanza kuquestion uelewa wa Mnyika ambaye kwangu mimi namkubali sana!

Kama umemsikiliza vizuri Chenge na kumuelewa utagundua kuwa alichofanya Chenge ni kuthibitisha kuwa nchi hii inayoendeshwa ka mazoea. Hakuna jipya, watu hawasomi sheria wakaelewa mikanganyiko iliyopo, na mbaya zaidi wabunge wa ccm wanapitisha sheria bila kuangalia madhara yake kwenye utekelezaji.

Kwa mfano, Mnyika ameeleza wazi kuwa mashirika ya umma kama EWURA, Tanesco etc wanapeleka bungeni bajeti kwa amount ambayo inatokana na ruzuku peke yake. Lakini hela wanazopota kupitia vyanzo vingine bunge halihushwi, na hapa ndio mwanzo mkubwa wa hela za umma kupotea. Kama kamati za bunge hazipati taarifa juu ya income yote ya shirika la umma watasimamiaje? Utakagaua mahesabu gani kama mtu anakupa taarifa nusu nusu?

Lakini kwa sababu wabunge wa ccm ama hawana dhamira ya kusimamia pesa za umma, au ni wavivu kusoma na kufikiri, basi wanaona Mnyika hana hoja. Nina hakika by 2013 hiki alichosema Mnyika kitawarudi CCM.
 
Chenge amemuumbua Mnyika...
Sasa naanza kuquestion uelewa wa Mnyika ambaye kwangu mimi namkubali sana!

Mkuu kamuumbua nini? Pumbaa tupu magamba watetea matumbo mfano mnyika ametoa mfano mashirika ya uma tanesco nk pato matumizi vinaendeswa kihuni inatakiwa isimamiwe na bunge magamba hawataki kwasababu ya ufisadi
 
Wadau naangaelia Bunge live TBCCM, Mh Mnyika anaendelea kuitetea nchi lakini magamba wamekomaa na kutetea ulaji na kuongeza mamlaka ya rais.

My take, Mnyika anafaa kupewa kazi ya u-watchdog ili serikali inyooke. na naomba sana Mungu come 2015 CDM tuchukue nchi ili huu udahalimu ukome.

Watchdog inamaana gani? kwani uo usemi umeniacha
 
Mkuu kamuumbua nini? Pumbaa tupu magamba watetea matumbo mfano mnyika ametoa mfano mashirika ya uma tanesco nk pato matumizi vinaendeswa kihuni inatakiwa isimamiwe na bunge magamba hawataki kwasababu ya ufisadi
Kuna kamati za bunge zinayasimamia haya mashirika. Na hii njia naona ni effeciency zaidi kuliko bunge zima lingekuwa linayasimamia.
 
Chenge amemuumbua Mnyika...
Sasa naanza kuquestion uelewa wa Mnyika ambaye kwangu mimi namkubali sana!
Unajiquestion kwa kutumia masaburi au ubongo??Magamba wameumbuliwa mara ngapi kwa mambo ya kifisadi wanayofanya??? Rejao sijui magamba wamekuchanjia nini bado najiuliza...lakin naamini utabadilika siku moja.Ishahlah.
 
Mnyika kanifurahisha sana, eti anasema kwa kipindi chote nilichokaa hapa bungeni..halafu anthubutu kutaja (Mwaka mmoja tu)

Nimuulize Mnyika, kwani toka umekuwa bungeni bajeti imesomwa mara ngapi? Unafahamu namna bajet za agencies za serikali kama vile EWURA,TPDC n so on zinavyowasilishwa na ni nani anayezipitisha na kuzisimamia? Inabidi Mnyika usome kwanza sheria ya uanzishwaji wa hizi agencies ndio ukaongee bungeni kama ulivyofanya leo.

@Rejao,

Mwaka mmoja ni muda mrefu sana kama una akili inayoelewa mambo kwa haraka. Lakini kama kichwa ni nazi hata miaka 20 hutaelewa kitu, na ndio sababu kwa miaka 50 wamekuwa wanapitisha sheria zilizojaa makengeza. Hawaelewi mbele wala nyuma zaidi ya kusema ndiyooo! Unakumbuka ule uvundo wa Celina Kombani alio-download toka kwenye mitandao na kupeleka bungeni kama muswada wa kutunga katiba mpya? Na cha ajabu watu wazima wakaupitisha!

CCM ina vilaza wengi mno wanaishi kwa msaada wa mwanasheria mkuu ambaye naye anahitaji mawani!
 
kimsingi magamba wanaendeleza siasa za kuiua nchi majibu ya matayo hajitoshelezi kabisa sasa kama tunaendelea kuwapa hawa jamaa ni dhahiri siku moja tutazikwa kabisa ndani ya ardhi yetu.
 
Mnyika kanifurahisha sana, eti anasema kwa kipindi chote nilichokaa hapa bungeni..halafu anthubutu kutaja (Mwaka mmoja tu)

Nimuulize Mnyika, kwani toka umekuwa bungeni bajeti imesomwa mara ngapi? Unafahamu namna bajet za agencies za serikali kama vile EWURA,TPDC n so on zinavyowasilishwa na ni nani anayezipitisha na kuzisimamia? Inabidi Mnyika usome kwanza sheria ya uanzishwaji wa hizi agencies ndio ukaongee bungeni kama ulivyofanya leo.

Shida yako rejao unadhani kukaa miaka mingi kama bi kroboto ndo kuelewa mambo, hata ukikaa siku moja unapaswa kuelewa kile kinachoendelea. shida yako Rejao ni kuwa na kichwa cha nazi kama Dr wenu
 
Back
Top Bottom