Recent content by Don T

  1. D

    OBAMA follows me

    hiyo acount ya Obama iko verrified??
  2. D

    Reginald Mengi sikia hilli, sio kwamba tunakufundisha kazi

    si ajabu Reginald Mengi hamfahamu bhoke ye anaongea na directors wake tu Bhoke mtu mdogo sana EATV
  3. D

    Kibonde apata ajali Moroco

    nimeamini huwezi kumuongelea mtu kama humpendi imedhihirisha kiasi gan tunampenda kibonde bali tunatofauitana misimamo watanzania bado hatujafika sehemu tumchukie mwenzetu na kumuombea afe kisa ana support CCM utu kwanza mengine baadae... get well soon brother
  4. D

    Zitto awakumbuka waliokufa ajali ya Mv Bukoba

    Zitto iz tha next prezidaa wa bongo nan anabisha?
  5. D

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Siwezi kubishana na ww utataka uniingize kwenye mabishano ya dini gani bora na mm cyawezi hayo all i can say iz tht mwenzetu amekwenda na sis tupo njiani kweli mungu mkubwa
  6. D

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    WORD...m nawashangaa watu walivyo selfish
  7. D

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    hapana ndugu mtu amefariki lakini bado wanaendeleza siasa badala ya kumuombea hebu tuache ujinga ndugu zanguni tunapoelekea sio kuzuri
  8. D

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    wanaomchukia sheikh yahaya wote ni wabaguzi wa dini
  9. D

    Hasheem Thabeet afanya kufuru Bilicanas

    wote hamna hela ndo mana mnasikitika na imani mkizipata mtafanya kama ya hasheem
  10. D

    Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

    tht was perfect ans frm chalz baba
  11. D

    Mpendazoe aanika walioanzisha CCJ

    hilo gazeti limeona aibu kuwataja wote ni hawa hapa SITTA,MWAKYEMBE,MWaMbAlASWA,NAPE na yeye mwenyewe MPENDAZOE
  12. D

    Tp mazembe wamnunua ochan

    hapo ndipo unapotakiwa kukubali kuwa viongozi wa Simba ni makini..Ochan the tyme anatua simba mashabiki wote hawakumkubali ila KABuRU na PHIRI ambao walimuona akicheza before walimtetea na leo tumeona faida yake
  13. D

    Zanzibar Kupongeza wachomaji, Wasaidiwe washinde kesi, Mashujaa wa Muhanga!

    hebu acheni uchochezi mnataka muungano uvunjike ili iweje mijitu mingine mikubwa lakini akili hakuna kichwani pumbaaaaaaaaaav
Back
Top Bottom