Daima tutawakumbuka. Pia kumbukumbu hii imkumbushe rais Kikwete kutimiza ahadi yake ya meli kubwa zaidi katika ziwa Victoria kama alivyoahidi katika kampeni.
View attachment 30537Daima tutawakumbuka. Pia kumbukumbu hii imkumbushe rais Kikwete kutimiza ahadi yake ya meli kubwa zaidi katika ziwa Victoria kama alivyoahidi katika kampeni.
ni jambo zuri hasa kwa mwanasiasa...ni lazima wakati wote uwe na ajenda ya kukutofautisha na wengine.
ni vile wakti ule hatukuwa tukitumia neno ufisadi kwa maana yake halisi kama ilivyo leo...lakini ufisadi ndiyo chanzo cha ajali ile iliyochukua maisha ya marehemu wale ambao wengine hata miili yao haikupatikana.
Zitto atakwenda kuhani makaburi mangapi wakati kila leo wananchi wanachinjwa na ajali za barabarani? Amekwenda kwenye kabuli la Amina chifupa; wahanga wa MV Bukoba ,amewasahau wale wahanga wa ajali ya treni!!Atawasaidia wananchi kama akipiga kelele bungeni chuo cha usafirishaji[NIT} kipate uongozi wa kitaalam toka Board yao mpaka mkuu wa chuo; kikiwezeshwa kinaweza kutusaidia kupanguza hivi vifo vya ajali vinavyoweza kuepukika. Watu tunao tatizo liko kwenye ndugunisation!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.