Acha uwendawazimu wewe ungekua weye ungefurahi kuambiwa hivyo..
Ovyoooooo ndo maana akuzaliwa handsome.
afe tu kwani ana faida gani mjini hapa zaidi ya kutuulia tu dada zetu
ahaaa ndugu nafikiri ukisema umuhurimii kwa sababu ya kauli zake na pengine watu wanavolalamika kwa kaluli zisizo nzuri unakosea, hapa amepata ajali kama mwanadamu lazima uwe na huruma , lakini kama ajali imetokana na ulevi... hapo kweli hakuna huruma kwani ni uzembe wa kunywa pombe na kundesha... ulive nooooooooooooooooooooma..
Kifo chake lini?R.I.P in advance
Being honest hata kama ni kwa roho mbaya ni nzuri kuliko kuwa mnafiki wa pole ya kuona nomaKWANI MIMI niliandika ili uniunge mkono, siandiki ili uniunge mkono, Mwambie Kibonde namuombea mambaya kwakweli
Siyo chini ya bahari kama Osama?umeishaambiwa alikua amelewa, kisha mimi sio malaika kusema nisiwe na hisia za kumwombea mabaya, mimi sio yule ageuzaye shavu , damn .
mimi kila awashawishie WaTZ Kuwa watawala ni watu wema, ni mtu hatari sana, hata akifa maiti yake izikwe hata kwenye shimo la choo. simuhurumiii, sikulazimishi uwe na hisia zangu.
I can see the way you are strugling to pity him, So are many.It is hard to pity this guy...
Gari lake ambalo ni written off au yeye? Kafa?r.i.p kibonde
Ndo unafiki ambao wapenda maendeleo ya TZ hatupendi. Be honest. You could honestly responded "Pole" au "Bora Unge RIP"jamaa namchukia ilembaya.ila nampa pole shingoupande.
Itakuwa sherehe akifa eh? Suppose ndo wangekuwa kwenye boti moja RA, EL, AC, JK na ikazama?ajafa??
naona pesa za mafisadi zinamwangamiza ,
Kazi ipoBora uwe hivyo hivyo,ukisikiliza hii radio halafu ukimsikia huyu jamaa utaharibu siku!!
Ataishije mjini?mimi nilimshangaa sana sana alivyofanya kipindi redioni kumsafisha David Mataka pale ATC alipodai anastaafu na kuwa bilaq hata aibu mwanaume mzima eti anajivunia kuondoka ATC na kuwa ameacha ATC ikiwa na nembo mpya,
Hivi kumbe ana viwavi?afe tu kwani ana faida gani mjini hapa zaidi ya kutuulia tu dada zetu
Comment imekaa kinafiki vile... What's your positionNina uhakika baadhi ya watu wangeomba u dead kwenye hiyo ajali.
Intellijensiatena alipoapata ajali mwanamke mmoja akatoka resi kwenye mlango je mkewe anamjua huyo mke mwenza??
Angejifia zake
Kibonde sikuhurumii mdogo wangu, umekua ukilalalamikiwa sana na WaTz wenzio, hasa wazalendo, umekua kipofu asie na macho wala fikra, umekua duni kifikra na kimtazamo, umekua malaika wa shetani kati ya watakatifu watafutao ugali wao wa siku, umeitumia radio kama fagio la kupumbaza bongo zao. leo wajibika kwa laana zako, sikuhurumii , SIKUTAKII AMANI HATA CHEMBE.