90 days at GREEN ACRES SEC SCHOOL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

90 days at GREEN ACRES SEC SCHOOL

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by segwanga, May 27, 2011.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nimekuwepo pale nafanya kazi pale kama mwalimu.Kuwepo kwangu pale kwa miezi mitatu lilikuwa darasa ambalo sikutegemea kulipata.Sifanyi umbeya wala simhalibii bepari anayemilki shule wala siwahalibii walimu na wafanyakazi waliopo pale,wala siwaharibii wanafunzi na wazazi wao.Nimejifunza yafuatayo:1 sababu zilizotolewa na haki elimu na Ndarichako kuwa wanafunzi walifeli kwa sababu hawako makini,ni za ukweli wanafunzi hawasomi mpaka walazimishwe kwa kusimamiwa 2.Nimetambua kwa nini walimu wana badilisha shule kila uchao.Kwa bepari yule,walimu wanaoweza kufanya naye kazi ni wale ambao wamekosa sehemu nyingine,wamestaafu,wanaegesha au wanafki ambao wanajipendekeza kwa bepari.Kuwa mwl pale hauna tofauti na mbwa hauthaminiwi, unatumiwa tu kama box na wakati wowote waweza kutupwa kama takataka.3 Kazi ya ualimu inadharauliwa kuliko nilivyokuwa nafahamu.Bepari ambaye hata hajasomea ualimu anajifanya ndo anafahamu kuliko walimu waliosomea eti anawafundisha walimu.Usitarajie kiwango cha elimu kipande.4.Hakuna mkataba kwa kazi ya ualimu kwenye shule za private.Wakati wowote bepari akijisikia kukutimua anakutimua na wewe ukijisikia kusepa unasepa tu.5 Usipate na tatizo litakalokuchukua wiki mbilg hvi,utaambiwa uchague moja kati ya kazi au matatizo yako (ndicho kilichonitoa pale).6 Hakuna kodi ya serikali inayochukuliwa kwa sababu wafanyakazi wanachukulia mishahara dirishani.7 Hakuna hela inayopelekwa nssf.HAYO NDIO NILIYOJIFUNZA KWA SIKU 90 NILIPOKUWA PALE GREEN ACRES MABEZI
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mkuu wala hujafanya kosa kutoa dukuduku lako, japo kuwa ingekuwa na nguvu zaidi kama ungelitoa duku duku lako kabla ujaacha kazi.Hapa wengine wanaweza kuona kwamba umeamua kuyasema yote kama kuwa komoa kwa vile walikataa kusikiliza ombi lako la mapumziko ya dharula.

  Sema hoja ya matokeo mabovu imeweza kuzipa nguvu mambo uliyosema. Itasaidia wazazi kupata kujua hali halisi kabla wajaamua kwenda kutupa hela kwenye shule ambayo haina misingi bora ya kufundisha watoto wao.
   
 3. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hongera kwa kuwa mkweli na muwazi mkuu
   
 4. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  mkuu,dukuduku langu nimelitoa nimeshatoka kwani nilishafikia wakati nikaona mimi ni profesional kama mourinho alivyoprofessional hvyo kuingiliwa kazi na bepari ambaye hajui miiko ya hii kazi ni kosa kubwa sana.Kwa hyo mimi niliona sitapoteza chochote kwa kuachana na dharau alizonazo huyu bepari.Nakukumbusha hayakuwa mapumziko ya dharura bali ni family problem ambayo nilikuwa nikaishughulikie mikoani.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Najua wanafunzi siku hizi wao na simu, wao na bongo fleva wao na mapenzi baasi!
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakitoka hapo wanasoma copies za Nyangwine na kuangalia TV!
   
 7. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  DUUU! kumbe yule diwani na kada wa chama tawala anatula ada kubwa wakati ubora hakuna!!!! na ktk shule ongezeko la ada kila baada ya nusu mwaka! na hivi karibuni wanataka kulazimisha kila mwanafunzi alipiwe 100,000/= kwa semister eti za tuition!!! itabidi nimshauri shwahiba wangu amhamishe haraka kijana wake.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  chukua hatua tafakari uamuzi ni wako..
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ukimpeleka mtoto wako wa kike pale ameliwa...
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  bongo fleva naipendaaaa.
  zako changanya na za kupewa ehh au
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  kuhusu wanafunzi kulazimishwa kusoma,huoni watoto wa shule za kifungilo wanafaulu sana kwa sababu kusoma ni ratiba? ma-genius wako huko st gvt,mwaka mzima hakuna mwalimu wa chemistry na genius anaruka na C (a-level0, na kwa o-level B inapatikana tu kwa madaftari ya washkaji!
   
 12. d

  dreamcatcher Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Buh, Buh!!! Wajinga ndio waliwao...
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nimekupata mkuu, nilijaribu kuangalia upande wa pili wa shillingi,je kama wangekubalimaombi yako ungekuja kutoa malalamiko?

  Umetusaidia sana mkuu kwa habari na tunashukuru sana kwa kucheza "Mourhino" style lol.
   
 14. D

  Don T Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bujugoooo
   
 15. g

  gooner Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo aliyoongea ni ukweli mtupu coz mm nilisoma pale form five pcm nilivyoona mambo hayaeleweki nikahama. Bujugo anaweza akakuta wanafunzi wanasoma akawatoa darasani kwa lazima wakacheze muziki na wanafunzi wanafurahia tu.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Am a teacher too,nakupongeza,usithubutu kukubali kuburuzwa hata siku 1,safi kabisa,maisha yataenda!
  Ila kufeli kwa watoto kunachangiwa na meng,moja wapo ni nyumbani wanapotoka wazaz hawana utamaduni wa kuwahmiza watoto wasome wala kuja shule kufuatilia maendeleo ya watoto,hata umpgie sim...........
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,139
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe Mwalim kweli? au uliingilia tu kazi za watu? Tazama ulivyoandika, spellings unakosea, hujui pa kuweka "coma" wala "full-stop", uandishi wenyewe hohehahe! ama kweli, shule zimeingiliwa. Ni aibu wewe kusema kuwa u Mwalim.
   
 18. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu wenger,wangekubali maombi yangu ningelalamikia mambo mengine kwa sababu nimetaja mambo kadhaa ambayo hayaendi sawa.Kwa great thnkers lazima nije kupata ushauri na maoni mbalimbali,mi inaniuma kuona taaluma niliyosomea inadhalilishwa
   
 19. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu ashakum si matusi,hapa sio kwenye lecture au kwenye mtihani,its like ur writing a text message. Hakuna kujali sana grammar.Pamoja na hvyo angalia thread yangu nimetumia kasimu kangu ka mchina sijatumia pc thats why some of writing rule are bleeched.Mi mwl mahili ndani ya rock city nimeamua kurudi nyumbani baada ya shuruba pale green acres.
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwan mwalim hakosei?
  Hao maprofesa wanakosea,sembuse mwalimu,acha uzabizabina weweeee
   
Loading...