Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Jamani mimi naandika hili nikiwa na machungu kutoka moyoni. Tarehe 19/05/2011 Chalz baba alihojiwa kuhusu tetesi za yeye kurudiana na Wema Sepetu, lakini majibu aliyojibu kwa kweli ilikuwa ni zaidi ya udhalilishwaji wa mwanamke (specifically Wema). Alisema eti Wema ni kama mfereji, daraja, malaya ambaye anajirahisha kwa wanaume ili aendeshe maisha yake kwani ni mvivu na hana bidii katika maisha. Na hivo kwa maneno hayo chalz baba akasema hawez kurudiana na malaya kama Wema.

Lengo la kuleta uzi huu si kwa ajili ya kumtetea Wema lakini kama a gender sensitive person chalz baba hakuwa sahihi kuongea maneno kama haya tena mazito kwenye chombo cha habari tena ambacho kinasikilizwa ulimwengu mzima. Baada ya yeye kumaliza shida zake ndo leo anamuona malaya?? kwani malaya anafanya hiyo tabia peke yake?? Ina maana hata yeye chalz baba inabidi aitwe hvo. Huyu mwanamume akumbuke kuwa na yeye ana mama, dada, na hata shangazi zake ambao ni wanawake na siku ya siku yanaweza kuwapata haya anayomfanyia wema leo. Je yakitokea kwa familia yake atafurahi??

Natoa wito kwa wanaume wooote kuweza kuepukana na udhalilishaji wa kijinsia kama huu ambao unaweza kuepukika. Angeweza kusema tu kwamba hana mpango wa kurudiana na wema bila kutamka hayo matusi.

Hakuna kama mama jamani, mwanamke yeyote ni mama. tuheshimianeni pamoja na kasoro tulizonazo.

MWISHO

Kama kawaida masharobaro wataniuliza source, source ni Clouds FM tar 19/5/2011 kipindi cha movie leo
 
kiukweli nlisikiliza nliumia zaidi ya Wema,ila nkagundua hasira za kutemwa nimemshusha kama dekio la stendi
 
hayo siyo ya msingi wanajuana wenyewe kwa sababu wote nao ni malaya tabia zao zinafanana kwa hyo wana jf msiangaike kuwaza ujinga huo tuangalie mambo ya msingi jinsi gani tuimalishe ulinzi juu ya wanyama wetu wanaoibiwa kwenda nje na wanapandishwa ndege ambapo hata watanzania wengine hata awajawai kupanda c vituko hivi
 
Kabla ya chalz kuhojiwa alihojiwa wema jana yake, labda hamkusikiliza lakini wema pia aliongea kashfa kama kawaida yake, alisema chalz baba alipokua naye ndo alikuwa anapata coverage ya media, niliweza kurekodi sehemu ya mahojiano hayo nita ipost hiyo audio file ili muweze ku balance (when I get back to my comp)
 
Jamani mimi naandika hili nikiwa na machungu kutoka moyoni. Tarehe 19/05/2011 Chalz baba alihojiwa kuhusu tetesi za yeye kurudiana na Wema Sepetu, lakini majibu aliyojibu kwa kweli ilikuwa ni zaidi ya udhalilishwaji wa mwanamke (specifically Wema). Alisema eti Wema ni kama mfereji, daraja, malaya ambaye anajirahisha kwa wanaume ili aendeshe maisha yake kwani ni mvivu na hana bidii katika maisha. Na hivo kwa maneno hayo chalz baba akasema hawez kurudiana na malaya kama Wema.

Lengo la kuleta uzi huu si kwa ajili ya kumtetea Wema lakini kama a gender sensitive person chalz baba hakuwa sahihi kuongea maneno kama haya tena mazito kwenye chombo cha habari tena ambacho kinasikilizwa ulimwengu mzima. Baada ya yeye kumaliza shida zake ndo leo anamuona malaya?? kwani malaya anafanya hiyo tabia peke yake?? Ina maana hata yeye chalz baba inabidi aitwe hvo. Huyu mwanamume akumbuke kuwa na yeye ana mama, dada, na hata shangazi zake ambao ni wanawake na siku ya siku yanaweza kuwapata haya anayomfanyia wema leo. Je yakitokea kwa familia yake atafurahi??

Natoa wito kwa wanaume wooote kuweza kuepukana na udhalilishaji wa kijinsia kama huu ambao unaweza kuepukika. Angeweza kusema tu kwamba hana mpango wa kurudiana na wema bila kutamka hayo matusi.

Hakuna kama mama jamani, mwanamke yeyote ni mama. tuheshimianeni pamoja na kasoro tulizonazo.

MWISHO

Kama kawaida masharobaro wataniuliza source, source ni Clouds FM tar 19/5/2011 kipindi cha movie leo
nimesikiliza the whole interview... you decided to pick only a portion which was pinchy!!! Very poor analysis mkuu

Wpte wawili wameharibiana na kama ni kudhalilisha basi wamedhalilishana, chalz alichofanya ni kuharibu pale alipoharibiwa

siungi mkono wote wawili lakini title yako haiko fair kabisa, umekurupuka kama malaria sugu

Yule binti went to the station two days ago, kachafua mambo kwa kusingizia lakini hiyo hujasema
Actually kama ni mimi ningesema the guy has been harrased mno na amefikia kupigiwa simu mara kumi akiwa stejini which is not good, amepigiwa simu sa kumi asubuhi na akarekodi mazungumzo nk

be fair ndugu if you want to be respected
 
aloo we waukwel kwanza rekebisha jina lako,pili andika kiswahili fasaha na sio cha sidanganyiki.tatu wema yeye si kama mama zetu na wala hawafanani.nne je ulisikia maneno ya wema aliyosema pia akihojiwa kumkashifu chaz baba hapo kabla?kama hujasikia itafute nenda kwa zamaradi blog
 
jamani ni chalz baba au ni diamond aliyemtusi wema????mbona u-turn wamesema ni diamond.....btw wema huu ndio mshahara wa kutembea na low life suckerz!!!!!
ni Chals baba mpenzi ,unaweza kupata habari kamili kwa zamaradi
 
aiseeee hata mie napinga hoja ya kumfananisha bibie sana Wema Sepetu na mama,dada, wala chochote cha kwangu cha kike, akiwemo mbwa wangu wa kike!maana ntakuwa nimekosewa heshima mno.
 
Jamaa ni "rapa" kwa hiyo ulikuwa unategemea azungumze ki-"gender sensitive" kwani amekwambia yeye ni Mwanazuoni?
 
wanjuana hao mnaweza ponda weeeeeee siku ya siku watu wamerudiana aibu itakuwa yenu hapa ohoooooooooo mapenzi hayana kiapo by salehe kupaza umwendee muimbaji huyo huyo
 
Back
Top Bottom