Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

sidhani kama habari ina ukweli, mbona mpaka sasa vyombo vyote ni kimya?
 
Wanajamii

Kwa Majonzi Makubwa sana, napenda kuwapa taarifa kwamba, SHEHE YAHAYA IS NO MORE.

Poleni sana
Source, Mimi Mwenyewe
 
Aisee ngoja kwanza maana JF hapa kuna ishu za ku RIP watu then zinakuja kukanushwa!
 
Njia ni moja na kila mtu atapita, sheikh Yahaya katangulia na sisi tutamfuatia. Hakika huu ni msiba mzto kwa serikali ya Tanzania kwa kupoteza mlinzi mkuu wa mambo ya ushirikina wa Tanzania na rais wetu mpenda ustadhi Mh. Dr M K W E R E

R.I.P SHEIKH YAHYA- tutakukumbuka sana kwa mema na mabaya uliyoyatenda hapa nchini.

inallah wainallah rajiunah
 
Taifa_Kwanza, please be serious! Sheikh Yahaya is no more, really? Are you kidding?
 
Du!..hata sikusikia kama kaumwa karibuni..!Kama kweli apumzike anapostahili..Mganga hajigangi,lol!!
Tatizoina bidi wakazi wa dar wakae vizuri maana yale majini yake hayana pa kwenda
 
angekuwa mnajimu huyo ni mwanamke angepewa watu gani? kwahiyo hata watu wakifa Uzinzi unaendelea tu!.
Ndio mkuu......uko alipo sasa hivi imani yake inamwambia atakuwa na mabikira kibao anawavinjari.......huyu jamaa wacha afe tu.....kafanya maisha ya watz yawe magumu kwa uchawi wake.....
 
Kama ni kweli itabidi JK akatishe kikao cha SADC NAMIBIA aje kumzika uyu mnajimu wake.

uyo ndo mlinzi mkuu wa mkulum na kweli aliweza kudhibiti kuanguka anguka kwa mkulu, sasa cjui iyo kazi anaichukuwa nani sasa, au profesa maji marefu ajianae kurithi mikoba ya mnajimu? Rest in Peace Mr Yahya<iyo njia wote tutaipitia!
 
Amekwenda kaka kwani yeye anaroho ya CHUMA? Poleni sana wafiwa na pole KIkwete
 
Kuna mchungaji aliwahi kutabiri kuwa shekh yahaya hamalizi mwaka huu, naona imekuwa kweli ingawa hakuna ajuaye siku ya kufa mtu mwingine wala siku ya kufa yeye mwenyewe
 
pumzika kwa amani mzee Sheikh yahya, u will be remembered by many people.
 
Jamani hebu leteni habari za uhakika nashinwa kusema RIP bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom