Recent content by dolomon

  1. dolomon

    JamiiForums Tanzania Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

    Kapangwa wizara gani?.
  2. dolomon

    JamiiForums Tanzania Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

    Akaripoti alikopangiwa, huko atapata maelezo yote
  3. dolomon

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya wachunga ng'ombe na wawindaji

    Leo nimekaa sehemu namwagilia moyo, nikiwa natafakari ya ulimwengu na walimwengu wake, ghafla nikajikuta nakumbuka mikasa mingi ya kusikitisha, ya kishujaa,ya kufurahisha na mingine ni ya kusisimua kipindi bado mdogo naangali mifugo ya wazee wetu mzee Shamakala. Nikaona ni vyema basi tuwe na...
  4. dolomon

    JamiiForums Tanzania Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

    Mbona hauweki Link.sasa tuone hivyo vyuo?
  5. dolomon

    JamiiForums Tanzania Mbwa kujisalimisha kwa chatu

    Na hii huwa sio kwa nyoka wote,ni chatu tu.
  6. dolomon

    JamiiForums Tanzania Mbwa kujisalimisha kwa chatu

    Chatu huwa sio tu anajisalimisha,huwa anajisalimisha huku anajua kinachoenda kutokea,maana mmbwa huwa anatoa ile sauti ndogndogo ya maumivu huku kaficha mkia,sie tuliochunga ukiona mmbwa nyuma yako anagugumia unageuka chap kukagua..mita chache unamuona chatu..basi unamuokoa kwa kumkata na panga...
  7. dolomon

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na watu wanaokutendea Mema

    Nimekuelewa sana....! Asante.
  8. dolomon

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Kutoka kushoto ~ Habibu R Halahala -Mwandishi wa Raisi AH Mwinyi, Paul Sozigwa Mkurugenzi wa Radio Tanzania Dar-es-Salaam, Mwalimu Julius Nyerere, Brigedia Hashim Mbita Mkurugenzi wa Kamati ya Africa ya Ukombozi wa nchi zilizo kwenye ukoloni Africa na Mwamba Benjamin W Mkapa, wote hatunao hapa...
  9. dolomon

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana mahusiano na rafiki yangu

    Achana nae kwa style ya Yusuph mgalilaya,kimyakimya bila yeye kustuka.
  10. dolomon

    JamiiForums Tanzania Natafuta greentourmarine

    Kama kuna mtu pia anahitaji hizi cheap stone kama Sunstone zipo available,tuonane DM.
  11. dolomon

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Sanura, sijui umeimbwa na msanii gani wa Tanzania,ila sauti yake ni kama ya Tongolanga wa Makondeko Musica. Baadhi ya verse zake ni 'Sanura umeumbika, kwako nimefika mwisho kwa kupenda, Mtamaliza maneno, Na mwisho wake vitendo, Kinacho muweka kwangu, ni siri ya moyo wakeeeee!
  12. dolomon

    JamiiForums Tanzania Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

    Lengo la MUNGU kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu,ilikuwa ni kutaka kuonesha ukuu wake kwa Wana wa Israel pamoja na Farao mwenyewe...ikumbukwe kuwa MUSSA alikimbia ikulu ya Misri kwa mauaji,kwa hy alikuwa WANTED, lakini pia asingeaminiwa kirahisi na waisraeli,unless huyo MUNGU afanye...
  13. dolomon

    JamiiForums Tanzania Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Hiyo ni roho ya kwa nini,ni mbaya sana...kuna mawili yanaweza kukutokea usipojifunza kukubali na kuwaunga mkono wenzako wanaofanikiwa...udhoofike na ufe kabisa,au uwe mchawi uroge wenzako. Funga uombe MUNGU akuondolee hilo tatizo.
  14. dolomon

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume unapopata kazi kumbuka haya

    Mshara wa kwanza kama alivyo mzaliwa wa kwanza katika familia huwa ni wa BWANA/MUNGU....ungemshauri mshahara wote apeleke kanisani/msikitini kama shukrani..na aombe MUNGU amzidishie..ili inayofuata ndiyo afanye hayo uliyomshauri..asimsahau baba.
  15. dolomon

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Uko sahihi sana, hata Mwl. Nyerere aliukubali uwaziri mkuu kisha ndio akaendelea kupambania kusaka uhuru....kabla ya jambo kubwa kupewa, MUNGU huanza na dogo kwanza...
Back
Top Bottom