Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

Vipi kuhusu PhD positions, nahitaji kuomba this year nipe mwongozo.
PhD mara nyingi nimeona huwa wanatangaza kupitia Chuo husika. Unaomba kama kazi kabisa. Kwahiyo unatakiwa ujue chuo gani kinaendana na unachohitaji kusoma kisha unakuwa unatupia jicho kwenye website yao mara kwa mara. Ningeweka hapa link ya list za vyuo sema toka jana nashindwa kuweka link kwa simu sijui shida ni nini.
 
Mkuu huko kuna konyagi na nyama choma ya mbuzi
Vilevi vipo ila sina uhakika kuhusu Konyagi. Nyama za kuchoma pia zipo ila mara nyingi mnakutana mnachoma wenyewe. Wenye nchi yao wanaita "Barbecue ".
 
napenda sana niongeze elimu yangu kwa level ya master hasa kwenye mambo ya social dev. ila kwa sasa nafanya kazi kwenye ngo moja hivi inayojihusisha na elimu je naweza kupata full scholarship huko na nichuo/vyuo vipi vinaweza kutoa hiyo full scholarship ya social dev kupitia NGO niliyopo sasa?
Ndio Mkuu inawezekana. Naomba univumilie nikitumia computer nitaweka list ya vyuo na programs zote. Tena ukiwa kwenye NGO ndio safi kabisa.
 
Mademu wa ki swidish wanatoa mbususu kwa blacks kweli.

Mkuu sie blacks tumebarikiwa nguvu nyingi za kiume.ujue binti wa kizungu anashangaa inaendaje round hata 5 at once.

So huwa wanahitaji kutujaribu.vipi klub zao huko wale wa under 18 wanaenda usiku na waweza nyonya chuchu kidogo na kula mate Mana wazungu sio wachoyo wa mate Kama dada zetu Hawa blacks.
Ha ha haa. Swali gumu kidogo Mkuu.
 
Amani iwe nanyi Wakuu,

Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana "michongo" ya hapa na pale.

Namshukuru Mungu, hata kabla sijafika Ulaya nikiwa home kwetu huko kijijini ndanindani ñilitamani siku moja Dunia iwe sehemu ya kukaliwa na watu wenye Tabia njema, wenye kuaminiana na kupendana. Hasahasa kupeana michongo ama kuhabarishana kuhusu mambo kadha wa kadha. Msukumo wa mambo haya upo ndani yangu, na ninafurahia kuwatendea mema binadamu wengine siku zote. Wakifanikiwa ndio furaha yangu.

Huko nyuma nimewahi kuleta uzi wa kutoa taarifa kwa wahitaji kuhusu fursa ya kimasomo Sweden hasahasa Scholarship ktk level ya Masters. Ni matuamaini yangu kuwa nilijitahidi kujibu maswali kadri yalivyoulizwa.

Ila si mbaya siku ya leo tena nikakumbushia jambo lilelile; ama huenda unahitaji kujua wenzetu Ulaya wanaishije. Nimeishi Sweden kwa miaka miwili sasa. Nilibahatika kufika kutokana na Scholarship niliyoipata mwaka 2019.

Kwa sasa nimehitimu salama masomo yangu. Na sasa nina muda mzuri wa kujibu maswali ya wadau hapa jukwaaani. Nitatumia uzoefu na uelewa wangu wa machache niliyonayo kujibu maswali endapo yatajitokeza.

Kama ilivyo ada; sihitaji kulipwa wala kujipatia faida binafsi kwa kuanzisha uzi huu. Naomba maswali yaulizwe hapahapa na nitajitahidi kuyajibu. Niwe muwazi kuwa maswali "personal" ni ridhaa yangu kuyajibu ama kuyaacha. Hivyo ukiuliza swali lenye nature hiyo na usipate majibu naomba unielewe.

Zaidi ya yote, sihitaji kuulizwa au kufuatwa inbox(PM). Naomba niulizwe hapahapa. Wala sihitaji kubadilishana contacts na mtu yeyote. Ikitokea hivyo basi ni nadra sana! Karibuni Wakuu!
Hivi hizi scholarship zina age limit kama bado uko working age?

Mfano ukiwa na 35 to 40 unaweza pata hizi full funded scholarship?
 
Hivi hizi scholarship zina age limit kama bado uko working age?

Mfano ukiwa na 35 to 40 unaweza pata hizi full funded scholarship?
Scholarship ya Sweden haina age limit.

Inaitwa "Swedish Institute Scholarship for Global Professionals".

Sifa kubwa uwe na experience ya kazi angalau kuanzia 3 years.
 
Vip kuhusiana na GPA wanataka GPA kuanzia ngapi.
Hakuna GPA requirement kwenye criteria za kupata Scholarship. Vyeti unaambatanisha tu wakati wa kuomba admission. Kwenye upande wa Scholarship wanachozingatia zaidi ni jinsi unavyojibu maswali yaliyoulizwa, work and leadership experiences.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom