Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 995
Ivi ni 'Kua' makini au ni 'Kuwa' makini....anyway
Siku zote tambua kwamba Kuwa Mwema sio kutenda mema, kuwa mwema ni kutokuwaza mabaya kwani wanaotenda mema asilimia kubwa sio wema ni wahuni hujificha ili wasisomeke.
Samaki anayevuliwa kwa ndoano hafugwi analiwa, anayefugwa anavuliwa na wavu. Mtu yeyote anayekuvutia ili uje ni ndoano hiyo, utakula ukishakula tu umekwenda na maji.
Asili yetu ni fikra asiyekuwazia mabaya ni mwema kwako, anayekutendea mema hadi afikie hatua ya kutokuwazia mabaya ndio anakuwa mwema.
Yani Mwema ni yule asiyewaza mabaya, anayefanya Mema akiwa anawaza vibaya ni Mbaya, anayefanya mabaya akiwa anawaza Mema ni Mwema.
Mungu anatuhukumu kwa Intent (kwa Nia)
Ni hayo tu
MUNGU NI MWEMA