dolomon
JF-Expert Member
- Jun 5, 2018
- 595
- 1,234
Leo nimekaa sehemu namwagilia moyo, nikiwa natafakari ya ulimwengu na walimwengu wake, ghafla nikajikuta nakumbuka mikasa mingi ya kusikitisha, ya kishujaa,ya kufurahisha na mingine ni ya kusisimua kipindi bado mdogo naangali mifugo ya wazee wetu mzee Shamakala.
Nikaona ni vyema basi tuwe na jukwaa la visa vifupi vya sie tuliowahi kuchunga mifugo maporini na wawindaji wa wanyama wadodo wadogo...hukohuko vichakani na mporini.
Sasa kama kuna mtu ana mkasa,basi tukutane hapa tusimuliane na kukumbusha...mabaya na mazuri,kwa wema na au kwa ubaya.
Karibuni