mwanza kwanza
Member
- Aug 2, 2015
- 9
- 15
Habari wakuu natafuta madini aina ya greentourmarine kama kuna mtu anayo ani pm tufanye biashara
Njoo pm mkuuUkitaka madini ya Kiko unicheki
Mpigie Dulla mtaalamu wa gemstone 0673629328Habari wakuu natafuta madini aina ya greentourmarine kama kuna mtu anayo ani pm tufanye biashara
Mpigie Dulla mtaalamu wa gemstone 0673629328
Hilo nalo ni dini kweli Mkuu?Mbona lipo kama jiwe la kusugulia Gaga?View attachment 1898334
kuna sample hiyo iangalie