Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Mungu hahitaji KIKI wala hafanyi FITNA unakosea sana kufikiri hivyo.MUNGU amekupa uhuru wa kuchagua na kuwajibika kwa machaguo yako na anajua kwamba una njia ya laana na njia ya BARAKA ni wewe uchague tu.
Nimekuolewa ila Mungu alijua kesho ya wote wawili kabla hawajaumbwa ,sasa ni Mchezo gani mungu anacheza mimi nakataa kuwa mungu kakupa chaguo nakataa kwasababu bado naimani kubwa kuwa mungu ni mkubwa na anauwezo wa kujua kesho ya mtu, sasa kama Mungu Anajua matokeo ya kesho yako au Mwaka 2025 utakua muhubir mzur unakuaje utashi wako
Kuna mambo yanashangaza kwa wastan wa akili zetu ndogo za kufikiri Uwezo mkubwa wa mungu tunaoelezwa na vitabu ... Tayar vitabu vyenyewe vishajichanganya mahali

tukianzia kwa shetan mungu hawezi kuwa ailikua ameumba kiumbe ambacho hajui Mwisho wake au kesho yake kuwa atanisakiti tarehe flan
Kama alikua hajui bas vitabu viandike upya kushusha uwezo mkubwa wa mungu
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Mungu anafanikisha kile ukiwazacho isipo kuwa kwa wale aliowachagua
 
Some want to live as if there is no God to whom they must answer. To avoid the need for God they teach that all we see exists by accident.

Matter has always existed, they say, but at some time long ago matter exploded. Some flying pieces from this “Big Bang” came together by chance and they formed our system of sun and planets, with our own wonderful world. Much smaller pieces later came together in such a way that they happened to form living things. They say that overages slowly changed their form in many ways – all by accident, too – and we humans are the result. We have no spirit and no real purpose. From a long line of accidents, we are an accident on its way to its final accident! Does such a picture make sense?

How could so many accidents result in such order? What would happen if you caused a great explosion to scatter a pile of rocks and wood? Even if you repeated this many times over, would the millions of pieces ever have the chance of coming together in such a way as to form a normal house? Would the heavier rocks happen to come down first to make a perfect foundation? Would smaller pieces then fall in by chance to make straight walls on all sides, with doors and windows all in place? Would other pieces finally fall in such order as to make a roof that keeps rain out?
Hopeless answer
 
Lengo la MUNGU kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu,ilikuwa ni kutaka kuonesha ukuu wake kwa Wana wa Israel pamoja na Farao mwenyewe...ikumbukwe kuwa MUSSA alikimbia ikulu ya Misri kwa mauaji,kwa hy alikuwa WANTED, lakini pia asingeaminiwa kirahisi na waisraeli,unless huyo MUNGU afanye 'kisichowezekana' kwa Israeli na kwa Wa Misri..ili kudhihirisha uungu na ukuu wake.
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
 
tuishi nayo
IMG_20210223_125350.jpg
 
Wakati tunaona mabaki ya Mafarao walioishi miaka mingi kabla ya huyo supposed Mosses hakuna ushahidi wowote kuonyesha kulikuwa na mtu kama huyo
Wanasayansi wamechunguza bahari yote ya Sham na jangwa la Sinai hawakuona ushahidi wowote wa nadharia yake zaidi ya simulizi
Source : Wikipedia
 
Mambo ya dini yanachanganya sana. Haya yote ya kuhusu biblia, waislam wanasema ni watu waliopotoka na wataishia motoni. Wakristo nao wanasema waislam wamepotoka na wataishia jehanamu, kule china hawajui kabisa habari za ayoub wala yesu na wanaishi na kuendelea vyema tu. Suala la Mungu ni vile tu kila jamii inavyomuumba. Ndio maana kila jamii ina idea yake tofauti kuhusu ni nini Mungu, na inajiona na kuamini iko sawa.
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Kwenye dini yetu pendwa ya Uislamu
Imeweka wazi vile vipengele

Mfano kile cha kila mtu ana sehemu yake peponi na Motoni

Lakini pia Allah humuongoza amtakaye narudia tena amtakaye kwa sababu neno amtakaye ndio kiini cha swali lako.

Wakati mwingine waja wa Allah wanapewa mitihani ni Allah aone je mja atakufuru au atashukuru, ndipo pale tunapousiwa ukipata mali muombe Allah S.W. hito mali kama ulivyoipata kwa wema basi uitumie kwa wema na sio kwa maovu.

Hovyo basi kuna vipengele vya majibu yake kama vile

Allah anapenda waja wake wote waingie peponi isipokuwa kwa atakayekataa, Mtume Muhammad S.A.W alisema kila mtu ataingia peponi isipokuwa kwa yule atakayekataa....Maswahaba R.A wakashangaa kwamba kuna atakayekataa! Simalizi maana ni maelezo mengi.

Hivyo basi Allah alituma Mussa A.S kwa Firauni ( Laana za Allah ziwe juu yake ) kumkumbusha kuwa yeye anavyojiita Mungu sio sahihi ni Shirki kubwa kwa kiumbe kichukua nafasi ya Allah.

Hata leo tunaamini sisi Waislamu kuwa ukifa kama una madhambi madogo madogo lakini hukuwahi kumshirikisha Allah basi Allah kwa rehma zake atakuadhibu kwa muda alioupanga yeye Allah juu ya madhambi hayo ila huo muda ukiisha atakuja kukuingiza Peponi
 
Uo moyo mgumu sio alipewa na Mungu sasa apo tumlaumu farao au aliye mpa moyo mgumu farao
inafaa tuchimbe lengo la zoezi zima,kabla hatujatafuta wa kumtwisha zigo la lawama.

maana hata shetani aliumbwa akifahamika ataasi mbeleni.
 
Kwahiyo farao hakuwa na kosa, ni kama Mungu alikuwa anamfanyia fitna farao ili yeye (Mungu) akubalike na Waisrael. Kwa lugha ya kisasa tunaita kiki, Mungu alikuwa anatafuta kiki.
vyovyote utakavyoamua kuita.

ila hata malengo ya wewe kuishi ni yeye anayajua,ukianguka leo hapo sakafuni,haina maana kwa akili zako,ila yeye anajua ni kwanini kaamua story yako iishie hapo.

sisi watu wa imani tunafundishwa kupitia hizi hadithi kumjua Mungu ni wa namna gani,unakumbuka kisa cha ayubu???shetani alipewa ruhusa kabisa akampige tifu ayubu.
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini kuwe navadhabu ya moto wa milele?
 
Uo moyo mgumu sio alipewa na Mungu sasa apo tumlaumu farao au aliye mpa moyo mgumu farao
Kupewa sio kuchukua. Jaribu kuelewa na hapo.

Unaweza ukapewa embe lakini usilile. Free will ni kuchagua kula au laa.
 
Hili sio swala nani wa kumlaumu,Unawajibika na machaguo unayofanya ndio maana ya FREE WILL.You can take or do anything,But once taken it is taken.Ugumu uko wapi?Au hupendi kuwa na Free will?Je ni bora kwako usingekuwepo kabisa?
Unakwepa swali! Ugumu wa Farao alipewa na Mungu mwenyewe kwa lengo lake Mungu. Inakuwaje katika mazingira haya bado Farao alaumiwe kwa ugumu huo?
 
Unakwepa swali! Ugumu wa Farao alipewa na Mungu mwenyewe kwa lengo lake Mungu. Inakuwaje katika mazingira haya bado Farao alaumiwe kwa ugumu huo?
Mungu huyo hayupo, habari za kuwepo kwake ni hadithi za watu tu.

Ndiyo maana habari za kuwepo Mungu zinaletq maswali mengi kuliko majibu.

Ni fix za watu tu kujiongeza katika kupambana na hali zao.

Watu wengi hawapendi kusema "hatujui jibu la swali hili, tunachunguza".

Wakikutana na swali ambalo hawana jibu lake, wanalipa jibu la "Mungu".
 
Back
Top Bottom