Recent content by Dinipevu

  1. Dinipevu

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    Wataweza lakini kuweza kwao ni lazima yeye atawale mpaka 2035 ili aweke mambo sawa kwanza
  2. Dinipevu

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Hujui nini maana ya cheo, hawazidiani cheo cha uaskofu,lakini cheo cha mfuatano wa kikangazi ya kanisa kwa kufuata hairakia ya kanisa Pengo ni mkubwa kuliko askofu mwingine wa nchi na taifa la kikanisa.
  3. Dinipevu

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Wawekezaji wezi n Chadema Chadema hao wanabuni uongo wao
  4. Dinipevu

    Kumbe mwarobaini wa kuheshimiana na mshikamano ni mtu

    KUMBE MWAROBAINI WA KUHESHIMIANA NA MSHIKAMANO NI MTU. Huyu tumempata na kumbe dawa anayo ili kutufanya kuwa wamoja kitaifa na kuleta heshima kwa taifa hili likiwemo la kuheshimiana sisi kwasisi,na lile la mtoto wa fulani akiingia hotelini basi wote tushindwe kula,akiingia “disco” basi DJ,na...
  5. Dinipevu

    Huyu mpezi wangu ananiambia anapenda kuwa na wanaume wawili

    Napenda ila yule nampenda isije katikati ya thrice nikaanzisha ugomvi.
  6. Dinipevu

    Huyu mpezi wangu ananiambia anapenda kuwa na wanaume wawili

    Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba...
  7. Dinipevu

    Approaches za Mkuu: Tatizo limeanzia hapa

    Upinzani Tanzania haupo bali kilichopo ni upingaji nduli.
  8. Dinipevu

    Changamkia fursa; Kwa Magufuli vyeo vinaombwa/ vinaombeka. hii hapa ni mifano

    Huna tija yeye mwenyewe , amekanusha waandishi wa habari wa chadema ndio waliozusha hilo,yeye jana amekanusha
  9. Dinipevu

    Sema chochote kuhusu Middle East

    Kila unapoitaja Israel mtandaoni wao wanafuatilia kwa nini unaitaja? For their security and safety.
  10. Dinipevu

    Sema chochote kuhusu Middle East

    Wanapendana kuliko watu wote duniani,hawa wayahudi,wanaongoza mataifa yote makubwa kutokea israeli,ufaransa,ujerumani,uingereza,markani n.k top secret za mataifa hayo ni za kwao kutokea middle east Israel.
  11. Dinipevu

    Uwanja wa Ndege(JNIA) wafungwa kwa muda usiku

    Wanawandalia daladala za kwenda india labda
  12. Dinipevu

    Nchini Uganda kuna kundi la watu wanaouza viungo vya binadamu

    Tunamlazimisha Mungu aulete mwisho mapema
Back
Top Bottom