Huyu mpezi wangu ananiambia anapenda kuwa na wanaume wawili

Mwanaume wa Dar_Ilala boma uyo!
Ivi mpk anakuambia huo ujinga we unakua upo wapi?mi ningekua central siku nyingi! Anyway apo jua tu kua Mpo wengi na jamaa mwingine atakua anajituma sana we ameona unakula sana chips
 
mbona hamna tatizo kama kakuambia ivyo bac hapo no true love pengine kakuongopea anawengine zaidi ya huyo mmoja. kwani ww hujui kula na kipofu? kula mzigo huku unatafuta mwingine ukimchoka unampiga chini!!!!!!!!!!1
 
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad.
shukuru sana kakwambia ukweli hapo sepa kimya kimy
 
Tatizo watu wengi wanaishi maisha ya kitamthilia sana. Video na movie za nje walizoziangalia nao wataka wapractise ndio matokeo yake haya.
Ukiachwa utasikia ''wanaume ni mbwa kbsa hata umfanyie nn atakuacha tu''
ndiyo wapo wanaume ambao wanaacha wanawake pasipo sbb yyte.
Ila tufike wakat tujitofautishe na wanyama. Tutumie busara zetu na hekima kutenda yale yanayompendeza Mungu.
Sasa hiv binadamu hawana tofauti na mbwa, mbuzi, kuku n.k sbb ya matendo yetu.
Tutafika wakati ndoa hazitakuwepo kbs kutakuwa na single moms na single fathers weng sana kwa matokeo haya.
Ngono isikutawale sana mpaka ukapoteza utu wako
Na kwa mwendo huu idadi ya watu itaongezeka sana kutafuta wanaume au wanawake mitandaoni wa kuwaoa au kuolewa nao.
 
Mchunguze huyo mtu asije kuwa dumejike psycho anataka awe anawashughulikia. Au muulize tena labda hukumsikia vizuri.
 
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad.
Huyo atakuwa anapiga dabo, yaani anavunja kabati na mbeele pia kunashighulishwa kwa wakati mmoja.
Anataka threesome.
 
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad.
Mkuu hapo mke hauna kbsa. Huyo mwanamke ni hasara kbsa zaid ya hasara.
Achana naye kbsa ukimuoa huyo utajikuta unalea watoto wasio wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom