Huyu mpezi wangu ananiambia anapenda kuwa na wanaume wawili

Dinipevu

Senior Member
Mar 15, 2011
100
225
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad.
 

victor moshi

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
809
1,000
Mkuuu..ushauri wanini sasa kamaa aim yako nikuoa..tafufuta mwingine oa" na kama aim yako ni mapenzi we endelea kua spear tair "tu

Hakuna wakuku laum..
 

medicine

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
217
250
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad. [/QU

Sasa huyo amekuchukuliaje mpaka apate ujasiri wa kukwambia muwe wawili na amekuonyesha hadi chats za boya wake akitaka nawe akumiliki,hapana hiyo ni dharau kubwa sana alafu mwanamke aliyetulia hawezi kufanya ivyo hapo kama unataka kugegeda ww gegeda tu alafu utoke baruti na usimtafute tena kama ni mchumba hapo haujapata endelea kutafuta
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom