Nchini Uganda kuna kundi la watu wanaouza viungo vya binadamu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
BREAKING NEWS;
Nchini Uganda limeibuka kundi la watu wasiojulikana wanafanya biashara ya kuuza viungo vya watu na pia inasadikika watu hao wameshaingia Tanzania kuna baadhi ya Camera zilifanikiwa kuwanasa wakiwa wanakataka ta viungo vya watu na uchunguzi bado unaendelea watu hao bado hawajafahamika.

SOURCE: KTV Kenya.

SAMAHANI KWA PICHA SIO NZURI KUZIANGALIA.
 
hawa jamaa wanauza nyama? maana kiungo cha mtu kama vikono hawezi ekewa mtu mwingine
 
Mkuu MziziMkavu si kila kitu kinastahili kuwekwa humu jamani! Dah! najuta kufungua huu uzi. Nilikuja tu kusema nimefurahi kukuona humu baada ya vurumai za jana za wajeda uchwara kutaka kuchukua nchi Turkey na kuwaacha watu karibu 200 wakiwa wamepoteza maisha.
 
Okay.......nina maswali ya kukuhoji kwanza ndugu mleta uzi......

1. Hiyo picha ilitokana na chanzo gani maana inaonekana imepigwa kwa karibu sana......na kamani hivyo kwanini wahalifu wajiruhusu kupigwa picha.

2. Unaweza tupo brief hizi habari zipo specific eneo gani ndani ya hapo UGANDA au wameingia nchini sehemu gani?!
3. Hauoni kama kutengeneza taarifa ya kutisha kama hii inawatia hofu raia wapenda amani wa nchini Tanzania.
 
Serikali wao kazi kukomaa na upinzani tu ilhali kuna mateso kama haya

dah picha za kuogofya sana hizi.
 
Mkuu MziziMkavu si kila kitu kinastahili kuwekwa humu jamani! Dah! najuta kufungua huu uzi. Nilikuja tu kusema nimefurahi kukuona humu baada ya vurumai za jana za wajeda uchwara kutaka kuchukua nchi Turkey na kuwaacha watu karibu 200 wakiwa wamepoteza maisha.

Mkuu hii habari toka juzi nimeona lakini sikutaka kabisa kuileta kwa sababu hata kuitazama sijataka ,hizo picha sijatazama nimesoma habari tu,Mods wangefanya busara kuondoa picha hizo ingekuwa jambo la maana sana
 
Hivi hamuoni kuwa hizo picha si halisi? Si kweli, ni karagosi hilo watu pengine wanacheza muvi zao. Mwanamke aliyelala hivyo matiti huwa hayakai hivyo. Tumbo huwa halikai hivyo. Tazama viungio vya mikono. Di halisi. Mnapumbazwa
 
Picha zimetoa ujumbe kamili juu ya ukatili wa binadamu, mods msizitoe hizo picha ili watu wachukie kabisa vitendo hivi viovu maana hizo picha zinakaa kwenye kichwa cha mtu kwa muda wa kutosha maana sisi watanzania ni wepesi wa kusahau
 
Labda wanamabanda yao ya kufugia hiyo mifugo...sasa lawama za nini kwao??
 
Nakuunga mkono mkuu, hizi picha hazistahili kabisa kuendelea kuwepo humu.

Mkuu hii habari toka juzi nimeona lakini sikutaka kabisa kuileta kwa sababu hata kuitazama sijataka ,hizo picha sijatazama nimesoma habari tu,
Mods wangefanya busara kuondoa picha hizo ingekuwa jambo la maana sana
 
Back
Top Bottom