Changamkia fursa; Kwa Magufuli vyeo vinaombwa/ vinaombeka. hii hapa ni mifano

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Wafuatao ni mifano ya watu walioomba kupewa vyeo/ kazi na mheshimiwa magufuli kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii na wamefanikiwa. wewe unasubiri mini. cheki hawa.

Mrema amuomba Magufuli atimize ahadi ya kumpa kazi kama alivyomuahidi kipindi cha kampeni

hatimaye
Rais Magufuli afanya uteuzi Mbalimbali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti Parole

2. Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

hatimaye..................

ongeza wengine unaowafahamu waliofanikiwa kwa staili hii ya kuomba Misha wale tusio na ajira tuchangamkie fursa
 
Huna tija yeye mwenyewe , amekanusha waandishi wa habari wa chadema ndio waliozusha hilo,yeye jana amekanusha
 
Abishaye hodi kwa muda Mara nyingi bila kukata tamaa mwishowe hufunguliwa hivo mlema ameng'ang'ana mda mrefu akimwomba rais atimize ahadi yake Leo ametimiziwa! Ila ciajabu sana mana mlema ni xawa na mwanaccm tu na hana effect yoyote ktk serikali
 
Kwani Mbatia alipoteuliwa na Kikwete kuwa Mbunge alimuomba? Au Rais kusikiliza na kutekeleza maombi ya mtu ni kosa?
 
kweli aise
 
kweli kila mtu na maono yake.. mrema ni ktk sample zilzoomba,ni kweli. one sample haitoshi kuconclude,km vp ongezea na wengine. peleka utoto kwenu. jf ni ni kwa wakubwa.
 
Abishaye hodi kwa muda Mara nyingi bila kukata tamaa mwishowe hufunguliwa hivo mlema ameng'ang'ana mda mrefu akimwomba rais atimize ahadi yake Leo ametimiziwa! Ila ciajabu sana mana mlema ni xawa na mwanaccm tu na hana effect yoyote ktk serikali

kweli aise
 
Sasa mwenyekiti wa chama cha siasa kuajiliwa silikalini wapi na wapi bora angeteuliwa ubunge akafanye kazi za siasa
 
Kwani Mbatia alipoteuliwa na Kikwete kuwa Mbunge alimuomba? Au Rais kusikiliza na kutekeleza maombi ya mtu ni kosa?

siyo kosa! nampongeza kwa hili na pia aendele na moyo huo huo Wa kusikiliza na kutekeleza maombi ya watu. karibu!
 
Back
Top Bottom