Kibwana Dachi, Mwandishi wa habari anayejua mambo mengi Tanzania

Huyo bwana anajifanyaga anajua kila kituuu yaaan kila kitu anajuaaa yaaan kila kitu
 
Nadhani mleta mada alikuwa anayataka majibu kama haya japo katika UZI wake amejifanya kuwa smart. Nishauri tu ni vyema kama unataka kujua tabia za Mtu positive na negative basi tuache " kuzunguka " KINAFIKI na badala yake tuwe tunauliza tu moja kwa moja.
Uwiiiiiiieee yeuwiiiii jaman nimecheka
 
Kwahiyo wew kibwana dachi hii ndo ID ya mdogo wako humu au...yaan mdogo wako unamtuma aje kukusifia humu daah bongo bana
Cyo mdogo wake mm na cna undugu nae wala ujamaa nae, namkubali kama mwanahabari mzuri, na siku zite sifichi kusema ukweli penye ukweli
 
Nadhani mleta mada alikuwa anayataka majibu kama haya japo katika UZI wake amejifanya kuwa smart. Nishauri tu ni vyema kama unataka kujua tabia za Mtu positive na negative basi tuache " kuzunguka " KINAFIKI na badala yake tuwe tunauliza tu moja kwa moja.
Mbna hakuna unafki
 
Huyu Jomba yuko sawa sana namkubali kuliko maelezo. Ktk kipindi cha morning magic mvurugaji na anaejisikia yeye ni mwanzo na mwisho ni huyu Orest, nafikiri atakuwa na mfupi wa kimo maana ubishi wake unajieleza.
Dead
 
Ni Kweli Kibwana Dachi Ni Mchambuzi Mzuri Sana.Na Mara Nyingi Uwa Anakisemea Kitu Anachokijua Vizuri.Kuna Kilaza Mmoja Anaitwa Orest Kawawu.Huyu Jamaa Mara Nyingi Uwa Anaongeaga Pumba Tu Na Ubishi Wa Kitoto.Uwa Anapenda Kujenga Hoja Kama Mtoto Wa Shule Ya Msingi.Nahisi Ubungo Wake Unauwezo Mdogo Sana Wa Kufikiri.Akianza Kuongea Na Kutia Vingereza Vyake Vya Kukariri Utatamani Uzime Radio.Kusema Kweli Anaboa Sana.Anaonekana Alikua Kilaza Sana Darasani.Na Sijui Ni Kwanini Walimpa Kipindi Cha Livetalk.
 
Kachambue Wewe basi tuone / tusikie uwezo wako. Mawazo ya WIVU kama haya ndiyo yanatufanya kila siku Tanzania " tutambae " wakati wenzetu waliojitambua na kuheshimiana " wanatembea " kama siyo " kukimbia " kabisa.
kosa langu nini hapo mkuu au hujui maana ya neno MUCH KNOW!!?
 
Kachambue Wewe basi tuone / tusikie uwezo wako. Mawazo ya WIVU kama haya ndiyo yanatufanya kila siku Tanzania " tutambae " wakati wenzetu waliojitambua na kuheshimiana " wanatembea " kama siyo " kukimbia " kabisa.

I miss you,much!
 
I miss you,much!

Mimi nimelimisi tu hilo " wowowo " lako Beibe. Hakyanani Nifah umeumbika na laiti members wote humu wangekuwa wanakufahamu ulivyo nakuambia wangesema " Beyonce " kaja holiday Tanzania. Namuonea sana " wivu " Mumeo kwani hakika anafaidi kazi ya uumbaji wake Maulana. Pole kwa BAN ya " mwendokasi " na sasa uwe na adabu humu tafadhali. Glad to see you back Honey " mwaaaaaaaaaaaaaah ".
 
Mimi naombeni picha yake tu.
Natamani kumjua.
uploadfromtaptalk1468758641236.png
 
Mimi nimelimisi tu hilo " wowowo " lako Beibe. Hakyanani Nifah umeumbika na laiti members wote humu wangekuwa wanakufahamu ulivyo nakuambia wangesema " Beyonce " kaja holiday Tanzania. Namuonea sana " wivu " Mumeo kwani hakika anafaidi kazi ya uumbaji wake Maulana. Pole kwa BAN ya " mwendokasi " na sasa uwe na adabu humu tafadhali. Glad to see you back Honey " mwaaaaaaaaaaaaaah ".

Ndio maana nilikumiss ujue?
Hata hivyo sikuwa na BAN,busy tu.
Thank youuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom