Sema chochote kuhusu Middle East

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,180
2,000
Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
 
Dinipevu

Senior Member
Mar 15, 2011
100
225
Wanapendana kuliko watu wote duniani,hawa wayahudi,wanaongoza mataifa yote makubwa kutokea israeli,ufaransa,ujerumani,uingereza,markani n.k top secret za mataifa hayo ni za kwao kutokea middle east Israel.
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,180
2,000
Wanapendana kuliko watu wote duniani,hawa wayahudi,wanaongoza mataifa yote makubwa kutokea israeli,ufaransa,ujerumani,uingereza,markani n.k top secret za mataifa hayo ni za kwao kutokea middle east Israel.
Ni kweli hawa watu wameshikamana sana na ndio race yenye akili zaidi dunian
 
Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,783
2,000
ImageUploadedByJamiiForums1469180501.094344.jpg

Kitu kama hiki husaidia sana
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,180
2,000
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano
Hawataki kuchanganyika na taifa nyingine
 
Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,783
2,000
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano

Lakini hawezi kuwazidi waarabu wao ni wabaguzi wa kutupwa!!
 
DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,048
2,000
Turkey napapenda.

Israel nampango wa kwenda huko siku mmoja
Kuna history na vitu vingi vya kujifunza.

Myahudi sio mwenzako wewe hata kama una cv ya namna gani ukienda kwao utaishia kuwaosha watoto wao,kuwatawaza,manyanyaso juu na kukuuwa kabisa
 
DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,048
2,000
Lakini hawezi kuwazidi waarabu wao ni wabaguzi wa kutupwa!!

Ubaguzi wao uko vipi Mkuu? Mimi nimeishi jirani na waalabu sijapata kuona watu wema kama waarabu,tumeishinao karne na karne hapa lkn sijaona chochote kibaya kutoka kwao..ni watu wenye imani na huruma zaidi kuliko mataifa yote unayoyajua, hakuna cha wazungu wala waislaeli wanaotuulia waafrika wenzetu, tatizo letu wabongo tunawashobokea mno watu hawa bila kujua wanatuchukia kias gani.myahudi ni kilaza hafai hata kidogo.

Mimi kama mtanzania napinga sana ubaguzi jamani. Hebu watanzania wenzangu tuishi kwa amani na upendo na tuache racism, ni hayo tu mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom