Wataweza lakini kuweza kwao ni lazima yeye atawale mpaka 2035 ili aweke mambo sawa kwanzakuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Punguza ukali kwa Rais wangu wa maisha hatokuja kama yeyeKikwete ni mpumbavu sana, Mwalimu Nyerere aliona mbali sana, alijua kabisa kuwa Kikwete hafai kuwa Rais alijua angeiacha nchi pabaya mno sasa nyote mmeona
Ndo maana kasema siku mungu akinichukua,na sio akiondoka madarakanHii sasa kaiona kama nchi yake yani hafikirii mtu mwingine kuongoza yeye akiwa hai.
Uyu halindwi na wale makirikiri tu mpaka wataalam wa ulimwengu usioonekana humlinda pia! Kwa hyo swala lako ni ngumu sanaKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Inabidi wamuwaishe b4 2020Kumbe hana mpango wa kuondoka hadi Mungu amchukue.
Nondo kawabwaga mahakamani alipo tuhumiwa kujiteka.mkuu pia wapo wanaojitekaaa
Hiyo kauli siyo mara yake kwanza kutamka alivyokuwa anasaini mkataba wa Daraja la Agakhani aliongea hivyo hivyo!Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Kwahiyo hataki kuondoka?
Hawa watu sio wakubibidhana nao ndugu yangu. Hawa waliwakandamiza watanzania mpaka wakawa wanaishi Kama mashetani sasa ni zamu yao... Wanachofikiria mifuko yao ijae mahela tu.. Na yote yanayo fanyiaka wao hawaoni maana ndizo heza hela wao walikua wakizitia mifukoni mwao..Alisha wahi kusema muda wake wakuondoka ukifika, hatachelewa hata SAA moja.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine nina
Yeye ndiye anatakiwa kujiandaa kisaikolojia. Maana ataingia kwenye list ya viongozi walioondolewa madarakani kwa aibu kama Mugabe.