Whatsaap aliwahi tu, ila telegram baba laoo.......
uwepo wa channels, bots inaifanya telegram kuwa tofaut kbsa n whatsaap,
pia ma groups yake ayana limit ya members, na kujiunga si lzm links au admin aku add
Ukitaka kumtafuta mtu telegram si lzm u save nmba yke kam whatsapp just search jina...
Mipango ya goli inaonekana, ilikuwa n swala la muda tu nyavu za mtibwa kutingishika
Luc n kocha bora kawabadilisha sana wachezaj ndan ya kipind kifupi tuh
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakorea naomb niulize instant noodles kwa kwet n chakula kipi,
na soju kwa bongo tutaifannsha n bia gan, je manufacturer wake n mmoja nationalwide?
Asante[emoji1374]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ole n tactiless hana mbinu yoyote no game plan united hatuna pattern on how tunacheza
Ukiachana n ki uchezaji na legacy yake ole ki ukocha n mdogo sana kwa man u ndo mana bado anaendlea kuwa puppet wa edwood n glazer
Tunafeli kusajili cause anashindwa kumshinikiza edwoord kusajili wachezaj...
Iko vizur mkuu unahusu safar ya uy jamaa ambae n witcher anavokutana n destiny yake ambaye n mtoto anaetakiwa amlinde(she is a princess)
Pia story ya sorcerer atakayekuja kupendana na uyo witcher..
ki ujumla story inawahusu ao watatu ambao watakuwa n impact kubwa sana katika ku save continent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.