😆😆😆 Poa poa mkuuShukrani mkuu.. Inafaa kutizamika hii
Spartacus au?Wakuu kuna series moja ya watu wanpeana mizigo kama big brother naitafuta Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ngoja nijaribu kuicheki tenaIko vizur mkuu unahusu safar ya uy jamaa ambae n witcher anavokutana n destiny yake ambaye n mtoto anaetakiwa amlinde(she is a princess)
Pia story ya sorcerer atakayekuja kupendana na uyo witcher..
ki ujumla story inawahusu ao watatu ambao watakuwa n impact kubwa sana katika ku save continent
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi nimefuta iyo naona upuuzi tu