Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu huu kuna wakali kama hawa enzi zile?
images (8).jpg
images (8).jpg
images (7).jpg
images (9).jpg
images (6).jpg
images (10).jpg
images (5).jpg
images (11).jpg
 
I don't hate Ole, Pogba ni mpuuzi sababu ya kutoishimu badge

Kwamba sina hata nusu uwezo wa wale wanaopanga mipango ya United, may be Yes, but I'm entitled to my opinion, and I am free to think.... I'm not like you who believe people who leading United (or people who are there in Europe, in United Board are angels) I'm not bendera fuata upepo like others, I'm am free thinker, may be not like you

Hao watu unaowasifu kwamba wana uwezo mkubwa wa kufikiri na tusiwakosoe, ndio mwaka wa 6/7 huu wanaendelea kutudumbukiza shimoni. Hao watu wameifikisha leo Man Utd kufurahia Man City kupata ban ili angalau tuwe 5 , MAN UTD TOP 5,LEO TUNAOMBEA TOP 5? HII NDIO LEVEL TULIYOFIKIA UNITED.

The truth must be said, after all, naheshimu your opinions ya kumtukuza Pogba, mchezaji ambaye haheshimu badge ya United unatakaje mimi nimheshimu. Sijawahi kuwa shabiki wa mchezaji au kocha wa Man Utd, siwezi kumuweka mchezaji juu ya timu yangu, kila mchezaji wa United ninayempenda ni kwa sababu ya anapambana kwa ajili ya United, hata mchezaji mwenye uwezo wa kawaida pale United nitamheshimu ili miradi anapambana badge

Kuna mwenzako sababu ya kumpenda Pogba sana akawa anakataa kwamba Pogba hajawahi kutaka kuondoka United, eti ni uzushi wa magazeti , wakati kila kitu kipo dhahiri. Kuondoka sio kosa, kosa ni namna yeye na wakala wake wanavyo handle kuondoka kwake, kosa ni namna alivyo poisonous influence kwenye changing room, kosa ni Ole kung'ang'ania kirusi ili kiendelee kuchafua hali ya hewa.

Narudia kusema kwamba sijawahi kumchukia OGS kama kocha, na nina muhusudu sana kama mchezaji legend. Lakini the truth must be said, viatu vya ukocha wa United ni vikubwa sana kwa Ole na ninapotaja mapungufu yake isichukuliwe kuwa namchukia.

Ukweli ni kwamba, kwa matokeo anayopata Ole, angekuwa ni Jose, Van Gaal, Moyes asingekuwepo kazini, Ole anatembelea nyota ya u legend pale United, pengine Ed anaogopa kumuondoa sababu na yeye ataonekana kilaza maana ni kocha wa 4 tangu SAF lakini timu bado inafeli

Ole apewe muda, tayari ana zaidi ya mwaka. Bora angekuwa hapati matokeo lakini uone kuna kitu anafanya, ukiambiwa hata utaje falsafa ya Ole ni ngumu kuelezea, ni kama anawaambia wachezaji mkinyang'anya adui mpira washanbuliaji wakimbie mbele halafu mabeki/viungo wawatupie mipira. Lampard, Rodgers, Negel Peaeson (Watford), Wilder (Sheffield United), Ralph (Southampton) hata Rochdale wanacheza mpira unaoeleweka, unajua kabisa hii timu inatafuta nini,lakini sio United ya Ole.

Mbadala wa Ole upo, ukitaka established names, anza na Poch (first choice) , nenda kwa Allegri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haters Gonna Hate....




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeamua sasa kutoyumbishwa na hisia na mihemuko..acha nibaki na ninacho kiamini hadi siku nitakapoona hiki kitu hakiwezekani au hiki kitu kimewezekana na tutakuja humu kufukua makaburi


√Tulikuwa tunalalamika humu timu imejaza vilaza,wameanza kuondoka tumeanza kulalamika tena..Smalling tulikuwa tunamtukana kila siku humu,Sanchez,Lukaku(tulikuwa tunasema Man United haijawahi kuwa na mchezaji mwenye first touch mbaya hivi)..sasa hivi tunawatamani tena..No wonder hata Jones akiuzwa tutakuja kulakamika humu"why mchezaji mkali hivi kauzwa"

√Mourinho kaja na alikuwa na timu nzuri kushinda hii ya Ole IMO lakini alishindwa kutupeleka top four..Pogba,Ibrahimovic,Mhiktaryan,Rooney,Herrera,Valencia,Fellaine,Mata etc,msimu uliofuata akapewa Lukaku,Matic,Dalot na Sanchez,tukaingia top four..ila tunataka tufanye maajabu kwa kuwatumia Rashford,Martial,James,Perreira na Lingard

√Tuwe na subra kidogo na Ole..Fukuza Fukuza haiwezi kutusaidia sana

√Ole inawezekana alikosea kutokufanya replacement ya Lukaku lakini naamini ameshaona alikosea na kuna uhitaji wa straiker(temporary straiker kapatikana)..Mbona Pep aliingia sokoni na kumsajili Bravo akachemka,ikabidi tena aingie sokoni??..Haya mambo yapo wakuu

√Tukiwa tunashinda hatuhoji falsafa ya kocha,tukifungwa ndo tunahoji falsafa ya kocha..amaizing stuff
Upo sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom