Naomba kujua tofauti ya Telegram na WhatsApp

Wakuu telegram na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali.

Je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid Telegram?

Mkujeni mnijibu
wakwanza wakwanza tu ila kadiri siku zinavyokenda telegramu anaweza kumpiga chini whatsapp labda kama whatspp amejipanga sana
 
Wakuu telegram na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali.

Je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid Telegram?

Mkujeni mnijibu

Whatsaap aliwahi tu, ila telegram baba laoo.......

uwepo wa channels, bots inaifanya telegram kuwa tofaut kbsa n whatsaap,
pia ma groups yake ayana limit ya members, na kujiunga si lzm links au admin aku add
Ukitaka kumtafuta mtu telegram si lzm u save nmba yke kam whatsapp just search jina analotumia
Akuna uchafu wa ku back up back up yan ukbadlisha ukatumia kweny smu nyingn account yako iko vilevile
Na kwa wale wa movies telegram ndo penyewe
Na features nyingneee nyingi sana ndan ya telegram

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nipe ujanja wa nuvu, ila pia telegram kuna feature ya scheduled meseji yaani uitume lini na saath ngapi
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tupe kadarasa mkuu hapa nie nachemka upande wa any. Do
Pitia mfumo/tovuti ramsi ya Any.do kisha iunganishe WhatsApp yako na Any.do // Hapo utapewa robot msaidizi utamueleza namna ya kukusaidia au kutoa kumbukumbu muhimu kwako.

Ataweza kusaidia kuendeleza WhatsApp yako.
 
Any.do siyakulipia?
 
Si ungenipa jibu tu mkuu
Au nitajie post #

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani Mkuu, nimekosa.

Jibu!// Ndio watumiaji wa WhatsApp wanaweza kuficha Status Eye na Blue Tick kwa kwenda Settings>Privacy>Read Receipts>Kisha kuisogeza kushoto.

Tahadhari! Unaweza ukaacha kuona Blue Tick na Eye View za wengine.
(Sio wote wamekumbana na hili lakini wapo inayowatokea.)
 
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa nnachopendea telegram ni channels means ukitaka channel ya muvi,ngumi,vitabu utapakua unachotaka hapo hata huhitaji net kwe simu unaweza connect to kwenye web telegram.wakati kwa whats app ni hadi sim pia iwe na bundle...
Inakuwaje hii,hebu tusaidie maelezo
 
Back
Top Bottom