Movie updates kwa mwaka huu 2020

Movie updates kwa mwaka huu 2020

Sijaangalia zote isipokuwa olympus has fallen na gravity basi
The Martian imerushwa sana Azam Two
Jamaa alipata msala akiwa sayari ya Mars, upepo ulivuma balaa wakati wanaondoka so jamaa akipeperushwa.Wenzake wakajua jamaa kafa.Wao wakaondoka, ile wanafika duniani wanakuta wanatumiwa ujumbe kwamba jamaa yupo hai.Unabidi watume chombo kikamfate.
Stering: Matt Demon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie binadamu niekeeni majina ya movie kali zakipelelezi na space movies nisiwe bakuli bure😜
 
IMG_7120.JPG


Kigongo cha kikorea kimesumbua ichi sana wazungu iki
 
Daah hii movie inayoitwa GRAVITY nilizani labda ile tuzo ya OSCAR ya marekani kapewa tu kumbe daah bonge movie

Alafu linateka hisia of course its very good science movie never seen B4
 
Huu uzi bila comment yangu haujakamilika..
Mm nasubiria 2021..kwa wapenzi wa Marvel tunajua kinachoenda kutokea
 
Huu uzi bila comment yangu haujakamilika..
Mm nasubiria 2021..kwa wapenzi wa Marvel tunajua kinachoenda kutokea
ha ha kweli brother ila da Vinci vipi ile movie ya mile 22 ulipata fursa ya kuangalia

Brotherhood
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom