Recent content by Degelingi

  1. D

    Hali bado tete jijini Mbeya

    Me naona kandolo amekurupuka ni hivi karibuni watu wamepoteza mitaji kwa masoko matatu kuungua moto na hawajalipwa fidia wala kujengewa vibanda. Soko linalojengwa hata halija kamilika alaf unataka kuwaondoa vijana waende wapi? au unataka vijana waje watupige roba mitaani wakati wewe upo ndani ya...
  2. D

    Sipigii kura mlima Kilimanjaro

    Kwani gharama ya sms moja sh ngapi?
  3. D

    Kuzini!

    Hili neno kuzini nje ya ndoa linanipa shida kulielewa, hivi kuna kuzini ndani ya ndoa? naomba tafsiri ya neno hili kuzini!
  4. D

    Maajabu Kuku aliyegeuka jogoo

    Kama kuku ni kuku jogoo jina tu! kawaulize wagumba.
  5. D

    Enzi ulipokuwa boarding

    Mazengo kulikuwa na fangas za mapumbu tulikuwa tunaita pumbu erosion. Zilikuwa zinawasha balaa. Alaf nyuka na gima ni balaa kwa watu wa kanda ya ziwa! umenikumbusha mbali sana.
  6. D

    Vituko vya DC huyu.....wote ndivyo walivyo?

    Huyu aliepost ni mnafiki kwani hajui ukweli ulivyo na anakurupuka. Dc msome amepigania bei ya maji bila kuchoka mpaka ewura wamemuelewa na kukubali kupunguza gharama mpya. Meneja wa mamlaka ya maji ameambiwa aandbe upya bajeti yake ili ewura iweze kupunguza bei kwani walishapanga mipango ya...
  7. D

    Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

    Hivi kuna uprofesa wa heshima? mbona siskii ikitolewa kwa marais!
  8. D

    Mpenzi/Mke akisema "naondoka" mwanamme afanye nini?

    Usiumize kichwa we mfungulie mlango, muonyeshe njia aanze safari! usihangaike nae kwani siku hizi maisha ni kusaka mahela huyo atakupotezea muda. Kama ataona umuhim wa ndoa baada ya kutafakari basi mruhusu ajieleze nini kasoro isiyotatulika!
  9. D

    Kuna haja ya kuwa na Expire date ya Ndoa!

    Kuna mzee mmoja amedai kuwa amechoshwa na tabia ya mke wake ya kudekeza watoto mpaka wanataka kuharibika. Amesema anakelwa na mengi toka kwa wife wake hadi kuna siku aliamua kuchukua cheti cha ndoa na kuangalia kama kina expire date. Hivi inawezekana kuweka exp date kwenye ndoa?
  10. D

    Unakumbuka mapenzi ya sekondari? ...kipindi hamna simu za mkononi?

    Jamaa yangu mmoja alikuwa akimfuatilia dem wamtaani kwetu pale kilimani dom, siku moja tulikwenda nyumbani kwao na dem bahati akatoka mama yake alikuwa ni jaji pale dodoma kwa kuzuga ilibidi tununue spinachi na mchicha wa mia mbili tukaondoka. Tulilaani kweli maana haikuwa kwenye bajeti na zile...
  11. D

    Unakumbuka mapenzi ya sekondari? ...kipindi hamna simu za mkononi?

    Nakumbuka nikiwa mazengo msingi kuna dem alimtolea nje kaka angu, basi me nikamuandika barua ya kumtukana alaf nikamchora picha wana mdu. Basi yule dada akaipeleka kesi kwa walimu. Nikaitwa ofisini kwanza wakanionyesha barua nikakili kuwa ni mimi, kilichofuata ni nilitandikwa fimbo na walimu...
  12. D

    Blogs na Forums za Michezo

    Naomba mtujuze za kibongo pia!
  13. D

    Hapa Pinda nini tena

    Hiyo ni iman ya mtu hata angekuwa mlugulu angeibusu tu iyo pete. Usije ukawa unaleta na chuki kwa waroma maana mnasema mengi utadhani nyie ni watakatifu!
Back
Top Bottom