Maajabu Kuku aliyegeuka jogoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu Kuku aliyegeuka jogoo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Nov 4, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ukistaajabu ya Musa,,, wakazi wa kijiji cha Malindi nchini Kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza kuwika kama jogoo na kuanza kuwasarandia kuku wengine majike akiwapanda kama jogoo afanyavyo!!!mmiliki wa kuku huyo anaogopa hata kumchinja na amemtengea sehemu yake na kumuwekea makuku jike ambao wameanza kutaga!!!wataalam wa mifugo mnasemaje juu ya mabadiliko hayo au ndo mambo ya ushoga nayo yapo kwa wanyama pia!! Source amka na BBC leo alfajiri
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  kwani jogoo sio kuku? ni mambo ya hormons tu yapo kwa binadamu ndege na wanyama(viumbe hai)
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuku kuku tu Jogoo jina!!!hormonz zimempelekea naye kuwezesha majike kutaga???
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kuku jike hawezeshwi na jogoo kutaga, jike anataga tu ilimradi amekomaa na anapata lishe bora.
   
 5. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Angekuwa wa kwangu saa hizi nimeshamla zamani kabla hajaleta balaa lake. Kwa uoga aliouonesha mwenye nae, ni dalili kuwa huu usagaji kuku huyo kajifunzia hapo hapo kwa familia
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  hii dunia sasa inakoelekea ni Mungu tu anayejua, mambo mengi sana yanatokea nobody can explain, juzi tumeona mbuzi wanapanda juu ya miti kama paka, jana kuna mtoto mwenye haja kubwa 4 kazaliwa....leo hiii....na bado mlolongo unaendelea
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hee! makubwa jongo! tetea kawa msagaji lol! kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firahuni ndio hii sasa
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  huu ushoga hadi kwenye kuku kweli dunia imekwisha..... huyo mliki wa kuku si ampeleke huyo kuku kule kwa yule jamaa aliesema tuwakubali mashoga ndi atupe misaada
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  angalizo kwenye red.Aweke jogoo kwenye hiyo sehemu maalum aone kama huyo aliegeuka kuwa jogoo nae atazaa tena(tagaa)

   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  dah! nimeishia kucheka tu kwenye huu uzi,
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  BBC + Cameroon = Wajinga ndio waliwao.
   
 12. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  nauliza huyo kuku ni mamalia hadi akazaa?
   
 13. D

  Degelingi Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuku ni kuku jogoo jina tu! kawaulize wagumba.
   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  kuzaa maana yake ndio hiyo hiyo, yaani kutaga mayai!
  Nimeipenda signature yako mkuu
   
 15. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Misaada ya cameroon nje nje
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Dah! Kweli kuna maajabu. Nalog off
   
 17. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Cameroon akamwambia: na wewe umezidi kuomba omba, kama unataka msaada this time, inama!!
   
Loading...