wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....
Pamoja sana! muda mrefu niimekuwa kinyume na hawa jamaa. ukishakuwa 7th wonder of the world halafu ndo iwe nini? mimi nimezaliwa kwenye mteremko wa huo mlima, sijaona tofauti yoyote na mzaliwa wa nanjilinji! sipigi kura!
hatuwasusii!! Tunakata Supply Chain ya madawa ya kulevya..unapopga kura, unaendelea kusupply poda kwa mateja na kuendelea ku make things worse kwako na kwao..sasa tunakata supply ili waende arosto, na ikiwezekana wafe.
If somebody votes or not, Mt. Kilimanjaro is and will still be the highest mountain in Africa.
Mimi pia sipigii kura. Sipendi masifa ya kijinga ya takwimu tu ati tanzania ni mahali pekee penye tanzanite. Tanzania ni mahali pekee penye simba sijui wapandao mtini tanzania blah blah blah halafu baadae iwe tanzania nchi yenye mlima kilimanjaro ambao ni maajabu ya dunia wakati watoto wanakaa chini madarasani tunafaidika na nini na sifa hizi arooo sipigi kura kabisa
furaha ya mvuvihasira za mkizi hizo...