FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,191
Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari.
Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?
Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?