Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Issue ilikuwa ni Iyunga Sec,
- Nakumbuka nikiwa F1 jamaa yetu mmoja alipigwa na F2 hadi kuzimia kesi ikamfikia H/master, next day akaja assemble na huyu jamaa alikuwa adimu sana assemble siku akitokea tu wanafunzi wote wanakuja kumsikiliza wanajua kuna issue ya maana. Basi kauli aliyo itoa sitasahau alisema " Nyie F2 msiwapige hawa F1 tumboni mtawaletea matatizo " akaondoka zake na kuwaacha F2 wakishangilia
- Siku ya graduation yetu hakuna F4 aliye kula wali kwa nyama maana vyoote vilimwagwa na wahitimu wenyewe kwa scramble kubwa kutokea mesini.