Miraji Kikwete: Vurugu za Mbeya CHADEMA isizingiziwe

Miraji Kikwete: Vurugu za Mbeya CHADEMA isizingiziwe

kesho atakanusha tbc na kusema amenukuliwa vibaya ,'cdm ni wapenda fujo wakome kunizushia'.
 
Huyu dogo nae Katpokea wapi anaanza na cheap popularity, anatafuta msamaha wa wananchi baba yake akifukuzwa ikulu, hatuta kubali lazima wote supu ya magereza. Huyu dogo ndo anayemiliki taasis moja inaitwa VIJANA ZAIDI ilikuwa maarufu sana wakati wa kampeni mwakajana sijui bado ipo au ndo imeshakufa kampuni za msimu
Miraji yuko Marekani anavuta bangi zake kkwa raha zake, ile taasisi ya kitapeli kamuachia Hala Habibu mtoto, mtoto wa marehemu HALA HALA.

[h=6][/h]
 
Mbona CCM wanashindwa kufikiri, kwani CHADEMA ndo walio wafukuza machinga katika maeneo yao ya biashara?
 
Miraji yuko Marekani anavuta bangi zake kkwa raha zake, ile taasisi ya kitapeli kamuachia Hala Habibu mtoto, mtoto wa marehemu HALA HALA.

[h=6][/h]

nashukuru kwa taarifa mkuu, coz nakafahamu ni kakilaza fulani hivi.
 
Duh..dogo kafanana na dingi yake ile mbaya...
9k=
images
 
Miraji kikwete ..ni mtoto wa Nje wa JK...huyu mama Yake yuko pale Dodoma Area C..karibu na Royal villlage...mtata sana Jamaa...full kula kijiti,,na aliwahi kufanya Muziki wa Hip hop..ana Album Yake na Single moja alifanyaga na Loon yule jamaa wa Bad Boy kipindi yuko Dar...ni mix tape fulani

Jamaa mkali wa IT kiaina..

Miraji a.k.a No Moko
 
Hakuna kitu pale labda kaambiwa aseme hivyo kichwa hakina kitu kile kimejaa picha za akina da.......tu


Mkuu, mbona avatar yako na ya kilewo zafznana? Au Mess na kilewo ni mtu mmoja ila identity ziko mbili??
 
Uyu teja nae anataka kuingia kwenye politiki?mshikaji wa kalapina..ameacha hiphop siku izi au?
 
Naongea na Riz1, ongea na mshua, street noma kimenuka, ongea na msure!!buku jero.
 
Hivi ninyi mnaoshangilia na kuandika bravo ni kwa ajili ya kitu gani?kweli kwenye msafara wa mamba na kenge wamo,hivi kweli kwa hali ya kawaida kabisa mnategemea atakuwa kafanya hivyo serious?achani kulaghaika kirahiasi hivyo,kumbukeni haya mambo ya siasa na kwa yalipofikia hapa kwetu TZ kuna michezo mingi sana inafanywa na mingine inaandaliwa hivyo mnatakiwa kuwa makini wakuu,hii ni technic mojawapo ya kupoza hasira za watu kuichukia serikali na wanajua kabisa asilimia kubwa ya wapenda haki kwa sasa wako Chadema,kuweni waangalifu na michezo ya kisiasa inayoongozwa na TISS na POLICCM,humu jakwaani kuna watu wanakusanya maoni ya watu ili kupata mwelekeo wa umma unasema nini,sasa hicho sio kitu cha kujivunia eti mtoto wa JK kasema nini,after all yeye ni raia tu kama wengine na hiyo haihalalishi kuwa ni kauli ya serikali
 
Kasema hivyo lini na wapi??
Unapokua unapost thread,
Jivue uhusika wa M-post thread ujivike wa msomaji kisha ujiulize inaeleweka ama vipi kabla ya kui-submit.


Kweli mkuu 'mzee wa misosi', maana watu wengine bana, akishaelewa yeye basi anadhani wote wataelewa
 
wakuu vipi hivi baba yako akiwa ccm ni lazima na wewe uwe ccm?
mi na uhakika Miraji yupo chadema ila anaogopa kujitangaza hadharani hivyo ana haki ya kukitetea chama chake.
 
Miraji kikwete ..ni mtoto wa Nje wa JK...huyu mama Yake yuko pale Dodoma Area C..karibu na Royal villlage...mtata sana Jamaa...full kula kijiti,,na aliwahi kufanya Muziki wa Hip hop..ana Album Yake na Single moja alifanyaga na Loon yule jamaa wa Bad Boy kipindi yuko Dar...ni mix tape fulani

Jamaa mkali wa IT kiaina..

Miraji a.k.a No Moko

Mtoto wa nje tafsiri yake ni nini? i mis some point here, mbona hata Riz1 sio mtoto wa Salma Kikwete? hakuna mtoto wa nje, mtoto wako ni mtoto wako tu.
 
kumbe BANGI nzuri, inatufanya tufikiri nje ya bubble.............
 
Back
Top Bottom