Blogs na Forums za Michezo

Chitemo

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
446
Jamani wadau mimi ni mpenzi sana wa sports hususan football both locally and international. Je ni blogs au forum gani naweza kupata information za soka achilia mbali na hizi ninazozijua:
1. Supersport.com
2. m.Goal.com
3. Skysport.com
4. 3arabsport.com
5. Tensport.com.
Niongezeni jamani nidumishe taaluma yangu ya habari za michezo.
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
kumbe wewe unaongelea website na sio forum kwani nilijua ni forums unaongelea kama ni forum mkuu ya hawa goal.com walishaifunga.

poa mkuu nimeshakusoma
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom