Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

Jamani watu wengine bana, sasa Title inasema UKWELI KUHUSU..... kwenye content unaongea mtazamo wako!! Tangu lini mtazamo binafsi ukawa ndio ukweli? Ukweli kwa nani? Labda kwako na Pro-CCM, Nilidhani at least utakua na supporting document inayoosha Uongo ili ku-prove huo ukweli or at least a specific aeguement. Sasa umeeandika tuuuu wakaja akina fulani nao wakadandia ku-support wasichokiamini wala kukielewa! Pole Mpwa wangu.
 
Haiendani na maana ya honorary degree. Ikiwa huelewi maana ya hiyo PhD soma hapa.

''An honorary degree (a degree honoris causa) (In Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university/degree-awarding institution) award to someone as a way of honoring that person for his/her contributions to a specific field, or to society in general.

Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia

Kulingana na matatizo makubwa yanayoendelea nchini na mwenendo wa utawala wa huyo bwana inakuwa vigumu kukubali kwamba anastahili heshima hiyo. Inaonekana amepewa kwa sababu za kisiasa au kuna watu wanatoa shukrani katika vyuo husika.

toka 2007 hadi leo post 168 tu, inaonyesha hukurupuki kujaza posts tu, safi sana, u have spoken my mind
 
Wanasiasa na wakufunzi wanamsoma mtu alivyo mwepesi wa vijimambo vya visifasifa anavyopendelea. Kumweka sawa mpe hivyo analainika na kujisikia poa. Nyerere alikataa kuitwa Dr. kwa vile hakusomelea kupata Utokta. Na hata watu maarufu waliopata heshima hizo hawazitumii kama taaluma ya CV zao bali ni heshima tu. Lakini Mkuu wetu kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuitwa Dr. bila shaka hujisikia sana kwa vile haijatokea akakataa kuitwa Dr.

Nyerere alikuwa kichwa, huwezi mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, atakutolea nje mara moja. Vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi vinapompa mtu heshima hiyo kuna vigezo na wanavianika wazi na unakiri. Lakini hii ya Chuo Kikuu cha Dodoma kutunuku udokta wa heshima wakati hakina fakarti hiyo ni kiinimacho cha misemo ya kufikirika ya mzee ruksa ya kuwa kichwa cha mwendawazimu kujifunzia kunyoa.

Kila chuo kikuu Tanzania sasa kinajifunzia kutoa Phd za heshima kwa Kikwete, sasa kauli ya mzee ruksa haijakaa sawa?
 
Mkubwa unajua maana ya CV?. Unafikiri wale wasomi wote wa Udsm ni wajinga mpaka wakubaliane kumtunukia hii Phd? This man is Capable kinachotuumiza wabongo ni wivu, majungu na zaidi ni kufuata upepo tu ili mradi umesikia mwenzako kasema na wewe unalipuka, angalia usije ukaenda kaburini bila hata certificate ya chekechekea. watu wako busy they are working hard wewe piga majungu.
Kwa mjinga kama wewe hakuna dawa. Bora hata ufe maana hunathamani kwa watanganyika wanaoteseka china ya mfumo wa ibilisi huyu.
 
Kama PhD Ingefafanishwa na Bastola Basi JK amepewa bastola ambayo ni TOY gun kwahiyo hawezi kuifanyia kazi ni kwa ajili ya kuchezea labda na wajukuu zake.
 
Ivi Nyerere alijiita dr. Nyerere?Mugabe kajiita dokta? Kwani wao hawakupata phd za hesma?Mbona kikwete anajitweza ivo?Ati mh. Dr. Jk!
Anankumbusha ya mama,mchungaji,mh.dr mbunge rwakatare!
 
Na yeye anapoitwa kuipokea hiyo PhDkwanini asihoji kwa kitu gani cha mno alichofanya?? Na kweli anaichekelea? Hata hivyo unafiki una shida kupatikana matibabu yake.
 
Nimesikitishwa sana na chuo ambacho watu wamepitia wengi sana na ambao wako kwenye ngazi muhumu sana serikalini kumpa PhD Kikwete. Mambo ya kujiuliza watanzania wenzangu ni kwa nini huyu mtu anapewa hii heshima? kwa lipi hasa alilolofanya kubwa kwenye sheria na mpaka apewe PhD? Je ni kuwanyima mahakimu wa mahakama za mwanzo mazingira mazuri ya kufanya kazi? ingekuwa vizuri na inampendeza mungu ningemtukana Mkandara kwa kusukuma hili na likawezana kwa sababu yeye ndo kawekwa pale kwa maslai yake Kikwete. I hate this and I will join who will rejoice the fall of Kikwete mzalimu na fisadi mkubwa nchini Tanzania na anayepewa PhD kwa ufisadi wake wa kubaka democrasia
 
Duh mkuu naona wamekuudhi sana hata mimi najuta kwanini degree yangu ya kwanza niliichukulia pale, na kuanzia jana sitakitumia cheti changu cha bachelor kuombea kazi.
 
Mkubwa unajua maana ya CV?. Unafikiri wale wasomi wote wa Udsm ni wajinga mpaka wakubaliane kumtunukia hii Phd? This man is Capable kinachotuumiza wabongo ni wivu, majungu na zaidi ni kufuata upepo tu ili mradi umesikia mwenzako kasema na wewe unalipuka, angalia usije ukaenda kaburini bila hata certificate ya chekechekea. watu wako busy they are working hard wewe piga majungu.

nimeamini kuna utahira wa aina nyingi! Mtu mwenyewe kashangaa kupewa hiyo heshima,wewe unatetea! Kafanya nini labda kinachostahili heshima? Jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa si vinginevyo!
 
hiyo ni kawaida kwa vyuo nadhani wameona aibu kikwete kupewa phd 3 nje maana wengine wanatambua mchango wake.je wao
pia sio big deal kama mnavyogeuza hapa,mkapa ana degree ya football ya uchina unashsngaa law ya kikwete
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom