kizunguzungu alicho acha mzungu,ila nisalamu ya kuwakilisha hisia,niswali kwa muhusika aliwakilisha hisia zipi?hususani kwa wakati kama huu kwa raia ambao wanaamini nchi imeuzwa,kwani ni busu za hivi hivi zilizo muuza yesu!sasa mzee muheshimiwa vipi?busu lako limepeleka hisia zipi kwa muhusika na raia chini yako?si uongo raia wamechoshwa na uongo wa maneno yako yasio fikia kikomo.kura zimefika na kupitiliza,vipi ujumbe haujafika ujijue hawakutaki?sasa vipi,kulikoni?jitwike chako usepe,ama nikipimo ulichotaka?basi kura zilipita kiwango ulichotaka,ila kwa tabia ya kuficha maovu kwa manufaa ya waovu.vipi muheshimiwa dada mtetezi vipi?mbona mtetezi wa walowezi na wezi si ndicho alichotaka muheshiwa!jamani wanyonge haki zao wapeni,jamani kiwauma ama mpaka wavichukie na vivuli vya sura zenu?