Recent content by CHIMPANZEE

  1. CHIMPANZEE

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Mbona hujataja wa redio za mikoani?
  2. CHIMPANZEE

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Mbona wa redio zaMikoani hujawataja?
  3. CHIMPANZEE

    Maandamano ya wanafunzi St Johns University

    Serikali iwajibike kwa anafunzi wanaotendewa unyama
  4. CHIMPANZEE

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Hapo amenenoa lakini, kikwete ni sikio la kufa.
  5. CHIMPANZEE

    Nashauri waziri Pinda ajiuzulu

    Sikubaliani na wazo lako. wajiuzuli wengine lakini sio huyo mtani wangu.
  6. CHIMPANZEE

    COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS 2012/2013 Masters/ PhD

    Ukijibiwa nijulishe na mimi maana naifukuzia kwa bidii zote
  7. CHIMPANZEE

    Natafuta Majina ya aina hii

    Nenda CCM majina hayo yapo
  8. CHIMPANZEE

    Natafuta Majina ya aina hii

    Unataka majina ya nini wewe?
  9. CHIMPANZEE

    Gombe National Park

    Kama unataka kazi usichague mahali pa kufanyia kazi, kumbuka wahenga walishamaliza kwa kusema mwanzo mgumu.
  10. CHIMPANZEE

    CHADEMA: Kwa fursa hizi, nchi ni yenu 2015

    Usemavyo ni kweli lakini mimi naona kama ndani ya CDM kuna vibaraka wa CCM, kwahiyo mambo hayawezi kwenda kama unavyodhani.
  11. CHIMPANZEE

    Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

    Kazi kwelikweli, nafuu sisi tunaoishi porini.
  12. CHIMPANZEE

    CCM tatizo ni Sitta na genge lake

    Kinachotakiwa ni kuvunja baraza lote kisha kuchagua ambao hawajawahi kushika madaraka, mbona CCM ina wabunge wengi?
  13. CHIMPANZEE

    Wana JF tumsaidie kijana huyu!

    Wazo ni zuri, tutasaidiana kumsaidia huyo ndugu
  14. CHIMPANZEE

    Tanesco

    Jamani naomba mnisaidie, kilasiku tunaambiwa hali ya umeme itakaa sawa, nisaidieni itakaa sawa kivipi? Sasa tunaambiwa maji mtera yanaisha, ivo kweli haiwezekani kutoa maji bahari ya Hindi au kwenye maziwa ya nchi hii kupeleka mtera ili umeme urudi katika hali yake? Shida ni kwamba nchi hii...
Back
Top Bottom