Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

I.John Dillinga
2.MR Chriss
3.Miss Jacky(101.4 enzi hizoo)
4.Milard Ayo
5.Charles Hillary
6.Regina mwalekwa
7.Mr flavour
 
alikuwepo yule mtangazaji wa kipindi cha mtaa wa mangoma siku ya jumamosi, mida ya saa 5-6 mchana (radio one), kwa sasa marehemu, alikuwa ananikosha vibaya sana, mungu amrehemu, mwenye jina lake anikumbushe.
Hayo ni mambo ya majuzi mno. Ukirudi nyuma zaidi Uncle Julius Nyaisanga R.I.P, alikua na kipindi cha Misakato. Enzi hizo RTD ilikua imejaza magwiji hadi raha.

Kulikua na Idhaa ya Biashara ya RTD na Idhaa ya Taifa. Ilikua raha sana. Baada ya mabadiliko, miaka ya tisini ikaanzishwa External Service of RTD(Pale EPZA ilipo leo karibu na Mabibo Hostel),baadae ikaanzishwa PRT. PRT ilikuja kubadilishwa baada ya TVT na RTD kuunganishwa kwa fikra za gwiji TIDO MHANDO na hivyo kuundwa TBC ambayo imezaa(TBC taifa sawa na Idhaa ya Taifa ya RTD, TBC FM sawa na Idhaa ya Biashara ya RTD/PRT,TBC International sawa na External Service ya RTD. Lakini pia zikaongezwa na TV yaani TBC1 sawa na TVT lakini pia na chanel 2 TBC2)

kiukweli tumetoka mbalii!

Vipindi kama Jambo, Pole kwa kazi, Majira,Mchana mwema, Kombora, Club Rahaleo Show, Misakato, nk vilikua moto wa kuotea mbali na kwa kutumia watangazaji mahiri wa wakati huo.
Sarah Dumba, SS NKAMBA-RIP, Halima Mchuka-RIP, Charles Hillary, Abubakary Liongo, Bakar Msulwa, Shida Masamba/Waziri,Christine Chokonegela, Salim Mbonde, Julius Nyaisanga-RIP, Abissai Steven-RIP, Malima Ndelema, Kassim Mikongolo, Halima Kihemba, Ben Kiko-RIP, Sued Mwinyi, Juma Nkamia-Hon, Shaban Kisu, Suzane Mungi, Enock Ngombale, et al ilikua raha sana
 
Duh we ni wa zamani khaa
 
Queen Fifi
Mammy babe
Edzen the rocker
Steve kafaya
Irene tillya
Mimi kwangu hao ndio wanaonikosha
 
Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen, Mchomvu, Dina Marios wote hawa wa clouds fm, Sam Missago, Sebastian, Michael Baruti kutoka Ea radio, Maulid Kitenge na Issack Gamba wa radio one, Halima Kassim (HK) wa kill fm na Gadner aliyekuwa clouds sasa Times fm bila kusahau mh mbunge Juma Nkamia aliyekuwa Tbc. Mdau mwenzang wanaojitahidi kwa upande wako ni akina nani? Kumbuka kila mtu na chaguo lake na mapenzi yake binafsi................!!! Asante..!
Mbona wa redio zaMikoani hujawataja?
 
Hayo ni mambo ya majuzi mno. Ukirudi nyuma zaidi Uncle Julius Nyaisanga R.I.P, alikua na kipindi cha Misakato. Enzi hizo RTD ilikua imejaza magwiji hadi raha.

Kulikua na Idhaa ya Biashara ya RTD na Idhaa ya Taifa. Ilikua raha sana. Baada ya mabadiliko, miaka ya tisini ikaanzishwa External Service of RTD(Pale EPZA ilipo leo karibu na Mabibo Hostel),baadae ikaanzishwa PRT. PRT ilikuja kubadilishwa baada ya TVT na RTD kuunganishwa kwa fikra za gwiji TIDO MHANDO na hivyo kuundwa TBC ambayo imezaa(TBC taifa sawa na Idhaa ya Taifa ya RTD, TBC FM sawa na Idhaa ya Biashara ya RTD/PRT,TBC International sawa na External Service ya RTD. Lakini pia zikaongezwa na TV yaani TBC1 sawa na TVT lakini pia na chanel 2 TBC2)

kiukweli tumetoka mbalii!

Vipindi kama Jambo, Pole kwa kazi, Majira,Mchana mwema, Kombora, Club Rahaleo Show, Misakato, nk vilikua moto wa kuotea mbali na kwa kutumia watangazaji mahiri wa wakati huo.
Sarah Dumba, SS NKAMBA-RIP, Halima Mchuka-RIP, Charles Hillary, Abubakary Liongo, Bakar Msulwa, Shida Masamba/Waziri,Christine Chokonegela, Salim Mbonde, Julius Nyaisanga-RIP, Abissai Steven-RIP, Malima Ndelema, Kassim Mikongolo, Halima Kihemba, Ben Kiko-RIP, Sued Mwinyi, Juma Nkamia-Hon, Shaban Kisu, Suzane Mungi, Enock Ngombale, et al ilikua raha sana
Wacha ni ongeze kipindi cha ombi lako nacho kilikuwa moto khalafu mkoa Kwa mkoa yupo Michael katembo ndio Kwa mara ya kwanza niliusikia wimbo wa kila munu ave na kwao mambo ya jangala na Dar group ilikuwa khatari sana.
 
Back
Top Bottom