COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS 2012/2013 Masters/ PhD | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS 2012/2013 Masters/ PhD

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NGOSWE.120, Jul 18, 2011.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wapendwa wana JF,

  1. Ningependa kwanza tufahamu kuwa kuna hii nafasi ya ufadhili kimasoma (hapo juu) ambapo sisi kama watanzania tuna nafasi ya kuomba na ikiwa mtu atakuwa na bahati basi anaweza kwenda kusoma huko UK.

  2. Nimejaribu kufuatilia kwenye internet kuona uwezekano wa namna ya kuomba hizo za scholarship specifically for PhD (for my case) lakini imeonyesha kuwa applications procedures for scholarship (Not for admission) should start at your home country. Na kwa hapa kwetu Tanzania imeonyeshwa agent for Commonwealth scholarship ni Katibu mkuu wa MOEVT.

  MASWALI YA MSAADA KTK HILI:

  (a). Kuna mtu ambaye amefanikiwa kupata hii scholarship either for Masters or PhD.? au kuna jamaa ambaye unafahamu alifanikiwa?

  (b). kutoka na swali .a. hapo juu, je ni utaratibu gani hasa hapa bongo unatumika ku-apply hiyo chance of funding au wapi naweza kupata maelekezo mazuri ya namna ya kuomba hiyo scholarship ha hatimaye niweze kufikia lengo?

  (c). Hakuna zengwe linafanywa ili kutoa nafasi za upendeleo kwa baadhi ya waombaji ?(NB: lengo ni kutaka kuchukua tahadhari mapema).


  Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu, na ni imani yangu kuwa MAELEZO/MWONGOZO MTAKAONIPA PIA UTAWASAIDIA WADAU WENGI HUMU JF Ili hatimae tuweze kutumia hiyo nafasi ya Commonwealth scholarship vema.


  Nawasilisha wakuu.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu hapa kizungumkuti, sifa zenyewe issue
   
 3. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  tembelea website ya british council-tz utapata details zaid kuhusu izo scholarship..pia kuna nyingine zinaitwa chavening scholarships
   
 4. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  asante mkuu nitatembelea hapo uliposema!
   
 5. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ukijibiwa nijulishe na mimi maana naifukuzia kwa bidii zote
   
 6. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Mkuu,

  Khs scholarships za Commonwealth huwa kawaida zinatolewa na kupelekwa kwenye wizara ya elimu ya juu ya nchi husika. Hivyo waombaji wanatakiwa kufanya applications zao huko. Commonwealth scholarships ni tofauti na Chevening Scholarship ambayo inatolewa pia na Uingereza na kuongozwa/kusimamiwa na British Council ya nchi husika.

  Kwa utaalam wangu na uzoefu wangu ktk masuala ya Scholarships, scholarship yoyote ile ambayo inasimamiwa na mikono ya watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho...hapo kuna kizungumkuti kikubwa sana kwa mtu wa kawaida kuweza kupata. Hivyo commonwealth scholarship nayo inaingia kwenye kundi hili la kizungumkuti na upendeleo bin ufisadi.

  Ushauri wangu, ni vyema uombe scholarships ambazo zipo administered na funders wenyewe directly, aidha iwe chuo ulichoomba, au taasisi husika.

  Kwa maelezo zaidi wasiliana nami hapa makulilo@makulilofoundation.org

  Kwa scholarship opportunities visit my sites

  Makulilo Blog MAKULILO Jr

  Makulilo Forum SCHOLARSHIP FORUM

  Makulilo Show ‪MAKULILOFOUNDATION's Channel‬‏ - YouTube

  MAKULILO
  California
   
 7. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Kama maelezo niliyokupa hapo juu, fungua link hii Commonwealth Scholarship Commission in the United Kingdom | Developing Commonwealth countries kisha nenda kwenye nchi husika, ambapo ni Tanzania itakupa link hii CSFP na anuania ya kuwasiliana nao, ni kama nilivyosema ni wizara ya elimu ya juu Tanzania
  Permanent Secretary​
  Ministry of Education and Vocational Training​
  PO Box 9121​
  Dar es Salaam​
  Tanzania​
  Tel: +255 22 211 1254​
  Fax: +255 22 211 2533​


  MAKULILO​
   
 8. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
 9. GreenHouse

  GreenHouse JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 281
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Nenda wizarani ukafatilie maelekezo jinsi ya kuapply. watanzania ni waoga na kudhani kila siku ni mambo ya zengwe. mimi nibeneficiary wa hiyo award na wala sikuwa namjua mtu. cha muhimu wanachoangalia ni ufaulu wako na jinsi unavyojieleza kwenye application.

  mchakato uko hivi, unaapply moevt then wao wanashortlist wale waliofaulu vizuri na wenye maelezo mazuri, alafu unapewa application form ambayo wao wanaituma commonwealth moja kwa moja. commonwealth wao wanachagua watu wanaoona wanafaaa, alafu unapewa majibu na both common weath na wizara. so hamna kujuana sababu mtu aliyefanya vibaya hata kama ni mtoto wa waziri hawezi kupata.

  acha maneno ya kusikia nenda kajaribu bahati yako, na watanzania muache fikra hizo mnapotaka kuomba nafasi kwenye kitu chochote.
   
Loading...