Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHIMPANZEE, Jul 22, 2011.

 1. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba mnisaidie, kilasiku tunaambiwa hali ya umeme itakaa sawa, nisaidieni itakaa sawa kivipi?

  Sasa tunaambiwa maji mtera yanaisha, ivo kweli haiwezekani kutoa maji bahari ya Hindi au kwenye maziwa ya nchi hii kupeleka mtera ili umeme urudi katika hali yake?

  Shida ni kwamba nchi hii imejawa na siasa, hata vitu vya maana vinawekwa kwenye propaganda.
  Uchumi wa nchi hii utaimarikaje ikiwa hakuna umeme?

  Viwanda vinafungwa, maofisi yanafungwa, je ni kweli Tanesiko wasilaumiwe?

  Mhuheshimiwa Ngeleja na watu wake ikiwa ni pamoja na viongozi wa juu wa nchi hii wanatupeleka wapi?
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,784
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Hilo swala la kurudisha maji ya bahari ya hindi mtera nlishaulizaga wataalam nkaambiwa umeme ni nishati (energy),
  ''ENERGY CAN NEITHER CREATED, NOR BEING DESTROYED,
  BUT CAN BE TRANSFORMED FROM ONE FORM TO ANOTHER''.
  Sasa sijui ukweli wa hii theory ukoje
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,689
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Utapata pressure bure hawa ni sikio la kufa mi nakushauri ununue jenereta ukubali kuumia kwa fuel hakuna shortcut sisi tumeshazoea.
   
 4. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  May be you mean " Matter/Energy is neither created nor destroyed but can be transformed from one form to anther".
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,784
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Unafafanua, unarekhebisha, unasahihisha, ama?Ulichofanya ni kurudia post yangu kwa kifupi
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,298
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Si wajaze hilo bwawa kwa kutumia technologia ya Thailand? Mh. Lowasa anaifahamu labda hawajamweleza hili tatizo.
   
 7. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 419
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Mgawo wa umeme hauwezi kuisha hadi maamuzi magumu yatakapofanyika yaani kusitisha na kuchunguza mikataba yote inayohusiana na nishati walioingia viongozi wetu.
   
 8. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuchunguza na kusitisha yes....isipofanyika hivyo atakuja waziri mwingine ataye kuwa na uwezo wa kutaja maeneo ambayo umeme unaweza patikana na kisha atataja neno megawatts na giza litaendelea
   
Loading...