sikudhaninalogwamkumbosihabamashaka...Wakuu wana-JFNaomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu. Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa. Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii kuwaudhi au kuwadhalilisha kwa njia yeyote wenye majina hayo.Natanguliza shukrani zangu za dhati.ShidaMtumwaJalalaMasumbukoMkosamaliSiwemaMajuto....
Tuendelee........
Havijawa
Havintishi
Masimango
Wasiwasi
Mashaka
Sikujua
Semeni
Riziki
Majuto
Zabibu
unataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
- Wema ( wote tunamjua)
- Sepetu ( baba wa binti mmoja aliwahi kuwa miss)
- Mwanaheri (anauza vitumbua hapa nje kwetu)
- Jamvi (sana ZNZ na Tanga)
- Mateso (sonara Keko)
- Sijaona ( muosha vyombo hotelini pale Hilton)
- Chausiku (yuko pale manyanya anauza unga)
- Lawama (RIP)
- Kombo
- Heri
teh teh lugendo ni swahiba anajna hlo nae...mwajuma ndara ndefuKokuMgishaLugendoByarugabaRuttashobya
Wakuu wana-JF
Naomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu.
Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa.
Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii kuwaudhi au kuwadhalilisha kwa njia yeyote wenye majina hayo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Shida
Mtumwa
Jalala
Masumbuko
Mkosamali
Siwema
Majuto
....

Riziki na Zabibu mbona bomba tu?Tuendelee........
Havijawa
Havintishi
Masimango
Wasiwasi
Mashaka
Sikujua
Semeni
Riziki
Majuto
Zabibu
unataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
ViweTuendelee........
Havijawa
Havintishi
khaa! Hili ni jina moja?sikudhaninalogwamkumbosihabamashaka...