Umenena vyema mwanzoni kasoro hapo kwenye kuligawa taifa! labda mgawanyike ninyi mnaokaa meza kuu. Sisi huku tunaombana chumvi, tunaombana mbegu (vuli hii!) tunaazimana majembe, tunazikana. Kifupi tunaharakati nyingi za kutuweka pamoja kuliko za kututenganisha. Kama hujawahi kuwa na shibe huwezi...
Nilisamehe kwa moyo wote, na tofauti na mwanzo nikajipa muda mwingi wa kukaa nae na kumshauri jinsi ulimwengu ulivyo na namna ya kuvishinda vishawishi, it seemed to have worked! A lot passed, uphills and down the valleys then we were blessed with a child mwaka jana na tukaanza maandalizi ya...
when sugar saturates in solutions don expect utamu kuongezeka. Jamaa hawaja fulia wamefikia kikomo cha kuwaza na kubuni. Niwakatik muafaka sasa kushirikisha wadau wengine wa vichekesho kwenye vipindi vyao ili kuleta ladha mbadala.
Natanguliza samahani, mimi sikufanikiwa kukiona kipindi hicho, napata shida ku follow, na nikifata link za video zinakataa, jee naweza kupewa hali halisi ni swali gani aliulizwa na approach yake ilikuwaje. Samahani tena.
Statistics ni muhimu lakini inategemea umezichukua angle gani, hapo inabidi ifahamike kama tunazungumzia Air pollution or wat, maana sitaki kuamini Dar index yake ipo juu ya Brasil.
The notion "we are poor" have been eating us slowly like a cancer, unless we learn it hard way, economic liberation is no where to be found!!!!! Mi naona tanzania tuache kudhani tunaweza jenga bila kutoa jasho tuache ujanja ujanja. Tuangalie hawa tunaowabudu kama miungu namna walivyo toka, wengi...
ha ha ha ha ha ha wakuu mmerutubisha kumbukumbu zangu sana, ni kweli pamebadilika sana, mara ya mwisho natoka pale vijana walihamishia upepo shule fulani hivi ya wasichana ipo maeneo ya kibamba dar, nakumbuka people walikuwa radhi watembee hata kwa miguu toka kibaha kuwaona tu wale watoto.
Dah! Man hii topiki iko hot sana yan unaweza uka ukwea U PhD mwisho wa kuijadili. Nataraji kurudi kuchangia hapa mfungo ukiisha. MY BLOOD SUGAR IS VERY LOW.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.