Goodbye President George W. Bush!

Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,063
2,471
Pamoja na kupungua kwa umaarufu wake hapa nyumbani mtoni, Rais Bush amajitahidi kulisaidia bara la Afrika kuliko Rais yoyote yule wa Marekani katika kupambana na matatizo ya magonjwa ya Ukimwi.

Hivyo nakutakia maisha mema kwenye mapumziko.
 
Sina tabia ya kumchukia mtu kama mtu, lakini huyu namchukia! Mwenyezi Mungu anisamehe!
 
Lakini kumchukia mtu ni lazima uwe na sababu. Na unapomchukia mtu bila sababu basi unakuwa mbaguzi.

Ni rais gani wa Marekani alikuja Tanzania na kukaa kwa muda mrefu zaidi ya Bush? Ni Rais gani ametoa pesa nyingi kuisaidia Tanzania katika kupambana na matatizo ya HIV? Ni Rais gani ametoa pesa nyingi kwa kipindi kimoja kuisaidia Tanzania kama sio Bush.

Chuki dhidi ya Bush ni kwa sababu alikwenda Iraq. Lakini je Sadaam Hussein alikuwa anafanya vizuri kabla ya Marekani kuivamia Iraq? Jibu ni hapana. Ndio watu wanachinjana huko Iraq. Lakini matatizo mengi yanatokana na waIraq wenyewe na sio kuwepo kwa majeshi ya Marekani kule.

Kama kuvamia nchi nyingine na kuondoa kiongozi basi hata Julius Nyerere alifanya kwa kuvamia Uganda.

Kwa hiyo nina imani kubwa kuwa emotions za watu zinatawala wakati wa kuangalia legacy za Rais BUSH.
 
Siku zake zimeisha kama zilivyoisha za marais wengine wa Marekani, sasa tuone na Mjaluo Obama mambo yake yatakuwaje?.
 
Huyu inatakiwa akisha maliza tu muda wake ashitakiwe The Hague hana tofauti na akina Piere inabidi asweke lupango tu kwa kuvamia nchi za watu na kuua maelfu ya watu.
 
Countries that will miss George Bush

By Kim Ghattas
BBC News, Washington

America's ties to Israel strengthened under President Bush
A lot has been written about George W Bush's unpopularity around the globe - but what about those places where the outgoing president was popular?

As he leaves office with a record high domestic disapproval rate - 73%, according to an October ABC News/Washington Post poll - President George W Bush can perhaps take some comfort from the fact that this feeling is not uniformly shared abroad.

While the shoe-throwing incident in Iraq may come to symbolise the world's opinion of a president who is often referred to as the worst in America's history, some corners of the world will miss the 43rd president of the United States.

He has approval ratings of around 80% in Africa, according to some polls, and in Kosovo a main street was named after him to thank him for supporting Kosovo's independence.

"It is generally accepted in the US that Bush has generated hatred for America around the world," says Peter Berkowitz, a fellow at the conservative Hoover Institution.

"But the picture is not black and white," he added.

Israeli ties

In the last days of his administration, Mr Bush again demonstrated his unwavering support for Israel as it pounded Gaza.

Readers review the Bush years

Analysts in the US observed that Israel may have deliberately timed the military offensive so that it took place before Mr Bush's departure.

Israel knew it could count on the current president to support its actions, but felt less certain about how an Obama administration would react.

US ties with Israel have always been strong, but some believe the relationship was even stronger under Mr Bush and that - depending on how Mr Obama handles the Middle East - the outgoing president may be appreciated even more in Israel once he has left the White House.

"Israel is probably the only place on earth where Bush can still get a standing ovation," says Mr Berkowitz, who was in Israel at the time of Mr Bush's visit in May for the 60th anniversary of Israel's creation, when he got several standing ovations.

"Israel sensed correctly that he acutely understood the challenges they faced. But my view is also that he understood the suffering and challenges of the Palestinians. He was after all the first American president who called for the creation of a Palestinian state."

It is unlikely, however, that many Palestinians will remember Mr Bush for that particular call - especially now that their final image of the Bush administration will be shaped by the latest Israeli attacks in Gaza.

Bitter disappointment

Just north of Israel and the Palestinian territories, Lebanon is one country where there is still some lingering appreciation for Mr Bush in some circles, albeit laced with disappointment.

Mr Bush was greeted by happy crowds on his 2008 trip to Africa

The administration's support for Lebanon's pro-Western factions in the turmoil following the 2005 assassination of the former Prime Minister Rafik Hariri was received with gratitude and relief.

What was known in Washington as the "Cedar Revolution" - and to Lebanese as the "Independence Intifada" - was held up by Mr Bush as a successful result of his "freedom agenda".

Liberal, anti-Syrian and pro-Western politicians swept to victory in the legislative elections that followed and formed a government for the first time in three decades.

But bitter disappointment came in the summer of 2006, when Israel and Lebanon's Hezbollah militants engaged in a fierce war. Civilians were dying in large numbers, but for days Washington withheld from calling for a ceasefire.

Happy crowds

Africa as a continent stands out as the main region in the world where Bush is most likely to be missed and where widespread support for the 62-year-old Texan mystified his critics.

In Darfur, many people reportedly name their newborn children George Bush.

When he visited the continent in February, he was greeted everywhere by excited, happy crowds.

Pew foundation polls suggested that he had approval ratings of up to 80%, even in countries with a dominantly Muslim population.

"While Bush's critics have given him little credit for his African initiatives, they will be among his most enduring legacies in a region of the world neglected by policymakers from both parties for too long," wrote Andrew Natsios, a fellow at the Hudson Institute, in an article in the Boston Globe last year.

It helps that America is not fighting any wars in Africa, as it is in the Middle East or Central Asia.

So in Africa, Bush would be remembered for "playing a central role as peacemaker in ending a 20-year civil war between the Arab north and African south," wrote Mr Natsios.

We know for sure that you, Mr President, and your administration have been good friends of our country

Tanzanian President Jakaya Kikwete

"It was the Bush administration that first raised the alarm about the atrocities in Darfur, organised a massive humanitarian relief effort to save people in the displaced camps, and rallied an international coalition to send peacekeeping troops to restore order through the United Nations and the African Union," he added.

When Mr Bush arrived in Tanzania in February, President Jakaya Kikwete poured praise on him.

"Different people may have different views about you and your administration and your legacy," he said.

"But we in Tanzania, if we are to speak for ourselves and for Africa, we know for sure that you, Mr President, and your administration have been good friends of our country and have been good friends of Africa."

Missed by enemies

What has really boosted Mr Bush's popularity there has been his decision to increase aid to Africa and the economic and health programmes he supported in the continent.

Overall, foreign aid doubled during the Bush administration, and in Africa it quadrupled from $1.3bn in 2001 to $5bn in 2008.

Additional billions of dollars were allocated to support his programmes to fight malaria and HIV/Aids and to reward good governance, programmes which have been viewed as a great success.

Kori Schake, a member of the National Security Council during Mr Bush's first term, says a number of other countries around the world may miss President Bush, from those that were hoping to sign free trade agreements with Washington, like Colombia, to rising powers like India which signed a controversial nuclear co-operation deal with Washington outside the Non-Proliferation Treaty.

Former Soviet republics like Ukraine and Georgia, which were hoping to join Nato or at least make good progress along that path, may also lament the end of the Bush administration.

But it may well be that whether Mr Bush is missed or not will depend on what Barack Obama does as president.

Finally, in their own way, leaders like Venezuela's Hugo Chavez, Cuba's Fidel Castro and Iran's Mahmoud Ahmadinejad may come to miss the man they loved to hate when they have to start dealing with his successor, the man that the world loves to love.

Yangu masikio!!!
 
Pole pole mkuu...! Ukifanya mchezo, sasa hivi na hii thread itavamiwa ...! We subiri tu utawaona wenye jazba zao.
 
Nyambala:

Ulizoweka hapa ni points muhimu sana. Lakini naona mambo mazuri aliyofanya Bush Afrika yamefunikwa na mambo yote mabaya yaliotokea Iraq.

Sasa basi tubadili role kidogo. Je mambo mabaya aliyofanya Iraq yangekuwa yamefanyika Angola. Na mambo mazuri yaliofanyika Afrika yangefanyika Syria, je Bush angepata sifa gani?
 
YIPPIEE!!!BORA AENDE TUU!!huo msaada aliotoa africa ni Nothing compared na crisis aliyosababisha Iraq na Afghanistan!!i think kama sijakosea ni president wa pili marekani kwa kuua watu "INDIRECTLY"...Tangu alipoingia madarakani alikua na nuksi mpaka anaondoka bado ni nuksi..Mungu anisamehe kama nitakua namsema vibaya but there was a time i really wished he died!!ok iraq wako liberated lakini at what cost??na mpaka leo they are still killing each other,si bora ya yule dictator!!huko afghan ndio usiseme!!palestina kafumbia macho!!SO to hell with him!!!!sorry.
 
Mkuu kama nilivyosema mimi yangu masikio, ila in my own opinion huyu jamaa ametuletea shida nyingi mno (Duniani kote) kuliko hata hiyo misaada yake. Hasa hasa baada ya 9/11
 
Bush said history will judge him, if he delivered or not better than the people of USA or the world are doing now.
 
Mkuu kama nilivyosema mimi yangu masikio, ila in my own opinion huyu jamaa ametuletea shida nyingi mno (Duniani kote) kuliko hata hiyo misaada yake. Hasa hasa baada ya 9/11

Baada ya 9/11 yeye ali-react tu. Kama kulaumiwa kwanini asilaumiwe alileta hiyo 9/11 ???
 
YIPPIEE!!!BORA AENDE TUU!!huo msaada aliotoa africa ni Nothing compared na crisis aliyosababisha Iraq na Afghanistan!!i think kama sijakosea ni president wa pili marekani kwa kuua watu "INDIRECTLY"...Tangu alipoingia madarakani alikua na nuksi mpaka anaondoka bado ni nuksi..Mungu anisamehe kama nitakua namsema vibaya but there was a time i really wished he died!!ok iraq wako liberated lakini at what cost??na mpaka leo they are still killing each other,si bora ya yule dictator!!huko afghan ndio usiseme!!palestina kafumbia macho!!SO to hell with him!!!!sorry.

Msaada aliotoa ni mkubwa sana. HIV ni tishio kwa nchi nyingi za kiAfrika. Na kusaidia kama matatizo hayo sio kitu kidogo.

Wanauana Iraq ni waIraq wenyewe. Na sababu za kuuana kwao zinajulikana wazi kabisa. Shia na Sunni hawapatani.

Suala la waPalestina lipo kwa zaidi ya miaka 50. Mgogoro huo hupo kabla yeye ajazaliwa sasa yeye anapewa lawama kwa sababu zipi za kimsingi?

Vilevile kuna waPalestina kama milioni 2 na kuna waathirika zaidi ya millioni 30 wenye HIV. Mchango wake kupambana na HIV ni lazima uwe mkubwa kuliko wa kutatua migogoro isiyo na mwisho.
 
mkuu unaposema wanaouana ni wairaq wenyewe unatakiwa uangalie na source!!huyu jamaa ali missinform dunia kuhusu weapons of mass destruction!!ndipo akahalalisha vita.vita ambayo ime distabilize iraq na probably the whole region.before mbona sunny na shia walikua hawauwani??dictator alikua anapunguza wale wapinzani!!kama alivyokua akifanya iddi amini!!Aliezoea kuendeshwa kama punda hawezi kuendeshwa bila mikwaju!!!
niliposema indirect ni hivi:
nani ambaye alijifanya yuko mstari wa mbele kwenye Roadmap to peace??lakini all the time he's biass kwa israel..ushahidi zaidi ni mpaka weapons ambazo israel wanatumia sasa hivi ni american made!!na sitoshangaa kama ushahidi utakapopatikana utaonyesha kwamba israel walizi obtain katika kipindi cha uraisi wake..naomba usome post inayosema "is gaza now israeli testing lab??"
suala la hiv america wamekua wakisaidia africa since clinton era!!usimpe credits zisizo zake..ne ways "KIFO CHA KUJIDHULUMU NA CHAKUDHULUMIWA KIPI CHENYE UZITO???"
kifo ni kifo!!ila sio wote tutashabikia wauaji hata kama wameokoa billions!!thamani ya maisha ni kuishi mpaka muda wako ufike!!
 
Ngoja niulize. Kwa sababu dikteta Sadaam Hussein alikuwa analeta amani basi alitakiwa kuendelea kutawala??

Je kuna watu wangapi walikuwa wanapoteza maisha yao kila siku kwa sababu ya Sadaam kuwepo madarakani ??

Acha uzushi, Clinton amesaidia Africa kwenye HIV kwa kutumia foundation yake. Bush amefanya kweli, matatizo ni kuwa hamtaki kuangalia number. Mnachoangalia ni Iraq tu.

Na Bush asingeenda Iraq iwapo Osama alisingefanya madhambi yake ya 911. Kwanini basi hamtaki kulaumu magaidi??
 
Ni rais gani wa Marekani alikuja Tanzania na kukaa kwa muda mrefu zaidi ya Bush? Ni Rais gani ametoa pesa nyingi kuisaidia Tanzania katika kupambana na matatizo ya HIV? Ni Rais gani ametoa pesa nyingi kwa kipindi kimoja kuisaidia Tanzania kama sio Bush.

Huu sasa ni ubinafsi usio na maana. Pia pesa alizotoa ni kidogo mmno ukilinganisa na pesa na EPA, Richmond na ufisadi mwingine. Aende zake hana maana yeyote zaidi ya kuleta moto duniani
 
He may be one of the nicest guys but as far as the head of the state...he's THE WORST PRESIDENT OF OUR TIME. The lies and the manipulation of facts and intelligence, the favor given to special interests (Oil companies, Pharmaceutical companies, military equipment contracts, health insurance firms) without forgetting the incompetent to combat disasters such as that of Katrina.
Historians will try to judge between him and Nixon who gets the trophy for the worst president ever. I will watch him tonight in his farewell address to the nation. Go George..have fun driving you gas guzzler F-350 truck and chopping word in your Texas Ranch..see ya!
 
Sasa mambo ya EPA, Richmond na Ufisadi mwingine si matatizo yenu. Na kama unataka kusoma mengi kuhusu misaada ya Bush kwa Tanzania naomba u-google The Millennium Challenge Account (MCA).

Mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni.
 
He may be one of the nicest guys but as far as the head of the state...he's THE WORST PRESIDENT OF OUR TIME. The lies and the manipulation of facts and intelligence, the favor given to special interests (Oil companies, Pharmaceutical companies, military equipment contracts, health insurance firms) without forgetting the incompetent to combat disasters such as that of Katrina.
Historians will try to judge between him and Nixon who gets the trophy for the worst president ever. I will watch him tonight in his farewell address to the nation. Go George..have fun driving you gas guzzler F-350 truck and chopping word in your Texas Ranch..see ya!

Lakini hizo special interests sio ndio zinazotoa kazi kwa wananchi wa kawaida. Sasa akitoa favor kwa mtu aliye kwenye social welfare, ni kitu gani kitakachofanyika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom