Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
Semilong, we una masihara sana .... JK amemuahidi tanzanite dada Aisha? hahaaa! Huu ni ufisadi wa ngono!
Lakini seriously, mi nadhani ni aibu kubwa zaidi kwa JK kwa sababu alikuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10! Tukimlinganisha na Mkapa ambaye pia alikuwa anashikilia wizara hiyo kwa muda mrefu, tunaweza kuona difference, ya kuwa at least Mkapa learnt to talk the talk even though he couldn't walk the walk.
Mkisema eti lugha inamtatiza aongee Kiswahili, nauliza hivi - alipokuwa waziri wa nje alikuwa anaongea lugha gani na kwa miaka 10 alishindwa kujipolish?
Kanikera sana kwa sababu amedai kuwa eti alimwomba rais wa IMF alete mkutano huu hapa for Africa, alafu hajajitayarisha kabisaaa, Vasco Da Gama alijua anauza sura!
Alafu Mzee Mwnkjj, rais alizungumzia brochure - lakini kama vile alilitamka broNchure? Au broadband inazingua?