Recent content by Chaka

  1. C

    JamiiForums Tanzania TRA ONline job application

    Mimi mwenyewe nimeamua ku-give up, watakosa watu wengi sana kwa mtaji huu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Mining Expert Appointed General Manager of African Barick Gold Mine

    I know this guy. He is a very good guy. Mwaka jana tu kampuni ya Shanta Gold walimchukua kutoka Barrick na kumuahidi pesa nzuri tu. For a short period ambayo alikuwa hapo nimeona jinsi alivyokuwa ana-tetea maslahi ya Geologists watanzania na nadhani hawa mabosi wa shanta hawakuipenda hiyo ndo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari

    Hivi nikihitaji five doors ya early 2000s with not more than 100000kms na ambayo haijatumika hapa Tz but imetumika lets say Japan bei yake ni sh ngapi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mashine za bakery zinauzwa

    tupe bei pls
  5. C

    JamiiForums Tanzania JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Hapa kazini kuna mzee mmoja wa kiislamu kaniambia eti leo waislamu wanaandamana ili kipengele cha dini kiwekwe kwenye questionnaire za sensa mwenye uhakika juu ya hilo atujulishe.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    jamani vipi bado tu?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu umiliki wa hisa nje ya nchi

    Habari wana jf, naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Cheking your SIM Card Registration Status

    Nimejaribu voda ime-comfirm kuwa nimesajiliwa lakini tigo inakataa, inarespond kwa sms kuwa niandike jina langu na namba ya fomu nitume kwenye 106. Jina halina neno tatizo ni hapo kwenye form maana nilisha-misplace. Inaonyesha tulifanya kazi ya bure kwenda kupanga foleni na kujisajili kwenye...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je rukhsa kuoa mdogo wake marehemu mke wangu?

    Ni kweli kabisa mkuu, Namfahamu mmoja aliyekuwa Hg somewhere na mtoto wa mwajiri akampenda, wakaoana na sasa wana watoto watatu mmoja anaitwa Rachel. It's one of the happy and lovely families here in dar, actually i admire them.:A S 103::dance:
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

    Nafikiri Mzee Issa Matona alishafariki (naweza kusahihishwa)
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto frank wa Dodoma anahitaji msaada,

    Kwa kweli mtoto analiza. ni kusimama muda wote akiwa darasani na hawezi kucheza michezo kama ya wengine.
  12. C

    JamiiForums Tanzania wimbo bora wa injili kwa mwaka 2009

    Tuko pamoja.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Thanks alot Next Level. Really appreciate!!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Nimejaribu lakini sijaipata. Kama kuna short-cut ya jinsi ya kutafuta previous threat nitashukuru kama nitaelekezwa. thanks, Chaka
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Habari za leo. Naomba mwenye uelewa juu ya gharama za uagizaji wa gari kutoka Japan. Information nilizopatiwa kuhusu gari yenyewe ni kama ifuatavyo: Mode: Nissan Wingroad Year: 2000 Kms: 92,000 Engine: 1.5 Trans: Automatic FOB: US$1,500/- Tafadhali naomba mwenye kufahamu...
Back
Top Bottom