Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

wawakilishi wetu huko Igunga mnatuangusha.Hadi sasa hakuna anaweza kutupa updates zilizonyoka.nadhani CCM itakuwa imeshinda.Ukiona manyoya ujue kaliwa.CCM imetufumua na tumeshindwa CDM.
 
Wakuu porojo zimezidi, mwenye updates atujulishe kulipo kuendelea kulumbana bila kuwa na point za msingi.
 
Dah hukumu gani ya masaa manne jamani..kweli hakuna reporter yoyote pande za huko Igunga atupe updates??
 
Back
Top Bottom