Dear WanaJF,
This service will be available to all operators in few days/weeks to come
kwa sasa only Zain have introduced such service.
The service will be formalized to use simple and standard Algorithm (i.e.
like the one of Zain)
And will be available to (TTCL Mobile subscribers,Vodacom,Zain,Tigo and BoL)
Nafikiri efforts binafsi za Kampuni moja moja pia zinaendelea.
Hii ya tigo imetokea hata kwa mzee wangu ameambiwa hajasajili wakati yeye ni wa mwanzo kabis na alisajili kwenye office zao za Nkuruma.Nimejaribu voda ime-comfirm kuwa nimesajiliwa lakini tigo inakataa, inarespond kwa sms kuwa niandike jina langu na namba ya fomu nitume kwenye 106. Jina halina neno tatizo ni hapo kwenye form maana nilisha-misplace.
Inaonyesha tulifanya kazi ya bure kwenda kupanga foleni na kujisajili kwenye vibanda vya tigo maana inavyoonekana itabidi tuka jisajili tena.
Kwa tigo tuma neno "sajili" kwenda namba 106.tiGO bado kuitambua namba/ huduma hii. Nimejaribu na kuambiwa "Namba ulizoweka ni batili. Huduma hii haijafanikiwa kwa sasa". Je, huduma hii ni kwa ajili ya kuhakikisha usajili? Kama ndio, kwa nini inakuja mwishoni mwa usajili?!!
...kwenye tangazo hili kwenye media wanasema dial hii namba ili u-cross check details zako kama ni sahihi yaani utapata majina yako as you are in register lakini jibu linlokuja linasema tu kwamba umesajiliwa.....so tangazo lirekebishwe.
Kwa voda bado haileti jibu zuri. Inasema haitambui code hii!*106# - Kujua kama umesajili SIM Card yako au la (Na sio SIMU = Handset)
Ni kwa makampuni yote ya Simu sasa