Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

''Mafiga matatu'' maana yake ni kwamba, mwanamke hatakiwi kuwa na mwanaume mmoja! Maana ipo siku anaweza kuachwa ghafla halafu ukakosa pa kukimbilia au wa kumtegemea! Kumbuka hapa tunazungumizia hawa wanawake wa Pwani ambao wengi wao ni ''house wives'' wasio na kipato chochote!

Kuhusu Issa Matona, nyimbo zake zinatofautina na hawa wa sasa, ila sasa za Issa tuziiteje? Au zina jina lingine? Ila yule aliyeimba ''halifichiki pembe la ng'ombe'' ana mfumo kama wa Issa Matona!

Mhhh kwenye red nilikuwa kinyume kabisaaa!!!

hizi za hawa wa sasa naona mipasho sijui ndo zinaitwa hivo..... hiyo nyimbo siijui ila huyo mzee am sure mahadhi ya nyimbo zake ni tofauti sana na hawa akina aramba (sijui hata jina lake)
 
Hao akina ''aramba aramba'' wanahamasisha ngono zembe tu, hawana jipya!
 
now yuo are talking
Mpwaaa! ngono zembe?!
yani zile ambazo participants hawavai condom?
sasa aramba maana yake shughulikia mbichi mbichi?
hebu elezea kwa uzuri bana
 
Mpwaaa! ngono zembe?!
yani zile ambazo participants hawavai condom?
sasa aramba maana yake shughulikia mbichi mbichi?
hebu elezea kwa uzuri bana

heheeeee Masaki mwenyewe ndo kasema mi sipo......
 
Inasemekana ni rahisi zaidi kuwapata wanawake huko kwenye taarabu kwa sababu wengi wa wanawake wapenzi wa taarabu wa asili ya mwambao wa Pwani. Na mafundisho ya maadili ya mwambao wa Pwani kwa mwanamke ni ''chungu hakikai kwenye figa moja, lazima yawe mafiga matatu''!!

Kwenye suala la kama ni warembo au la sifahamu kabisa kwa kuwa sijawahi kwenda huko!

Mmmh Masak i umeniweka kwenye msemo tata !
 
Mpwaaa! ngono zembe?!
yani zile ambazo participants hawavai condom?
sasa aramba maana yake shughulikia mbichi mbichi?
hebu elezea kwa uzuri bana

Birigita hii ndio maana yake !!!😕 aaah ...eeh....mmmh.....du napata kigugumizi
 
Wanaume wengi wanakwenda kwenye taarabu kufuata wanawake! Hakuna kingine!
icon10.gif
Halafu wakongwe wa taarabu wa kiume wapo mbona, mfano Issa Matona!
Nafikiri Mzee Issa Matona alishafariki (naweza kusahihishwa)
 
Yah, Mzee Matona hatunaye tena! Wengi wanaenda kwenye rusha roho kupiga window shopping za 'magoma' ya kubeba na kujivinjari nayo, c wajua tena miuno yao ya kibiashara naudeizi. "Inviting dancing"
 
Inasemekana ni rahisi zaidi kuwapata wanawake huko kwenye taarabu kwa sababu wengi wa wanawake wapenzi wa taarabu wa asili ya mwambao wa Pwani. Na mafundisho ya maadili ya mwambao wa Pwani kwa mwanamke ni ''chungu hakikai kwenye figa moja, lazima yawe mafiga matatu''!!

Kwenye suala la kama ni warembo au la sifahamu kabisa kwa kuwa sijawahi kwenda huko!

Mkuu unakikumbusha maneno ya uswahilini yanayosema mwanamke shurti awe na kidumu yaani akiangusha ndoo kubwa ya maji basi yale ya kwenye kidumu walau yatamfikisha na kumuokoa
 
Tumekuja kuwashika kwa mistaili yetu ya KIDUKWIIII.najua hamuiwezi na inawapagawisha kishenzi mijidada mipenda taarab,waweza pata mke hivi hivi!!
 
Vipi kuhusu hawa unawafikiriaje............????
1. Wanawake wacheza football....e.g ESTA CHABURUMA
2. Wanaume wacheza netball............
3. wanaume manesi..............
4. wanaume wanaohudumia kwenye mabaa............
5. wanawake wachimba madini.................
6......................

1.Michezo siyo kwa wanaume tu. In fact michezo ina faida ya kiafya.
2.Sijawahi kusikia wala kuona wacheza netball wanaume lakini netball pia ni mchezo. Rudia #1
3.Kuna big misconception bongo kwamba manurse ni wanawake. Ukienda sehemu kama Marekani utakuta wanaume manurse kibao. Chunguza hasa unesi una husisha nini.
4.Kuhudumia bar? You mean bartenders? Mbona wapo wengi tu. Sioni characteristics za kike kwenye kumserve mtu pombe.
5.Now kuchimba madini kivipi? Mwanamke kuchimba madini inamfanya awe na charecteristics za kiume????
 
okey, unajua mi hapa saa hizi nakuangalia wewe, siangalii vidole vilivyo-type. Ndo shida yangu nafikiri.

hahaha kwa hiyo ume4give or not ...watu manahasira kama mmeumwa na nyuki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom