Mtoto frank wa Dodoma anahitaji msaada, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto frank wa Dodoma anahitaji msaada,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukwangule, Mar 9, 2010.

 1. L

  Lukwangule Senior Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie mmeangalia taarifa ya habari ya TBC1 leo jioni saa mbili kuhusu mtoto mlemavu ambaye kichwa chake kinaning'inia na anajitahidi kuishi kama kawaida lakini hawezi kukaa analazimika kusimama akisoma? Nyie nyie kijana anaitwa Frank Mungu wangu madaktari wapo wapi? Huyu mtoto anateseka sana. familia maskini na serikali nayo sijui maskini? Lakini watu ni matajiri wa roho je hawawezi kurekebisha tatizo hili ambalo huyu mtoto hakuzaliwa nalo? Mimi najisikia vibaya sana
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  umeme ulikatika tunaomba kama una picha utuwekee
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Jamani hii habari imenitoa machozi kweli hujafa hujaumbika ..nafikiria jinsi gani ya kumsaidia mtoto huyu vile mola atakavyonijaalia ..
  Preta huyu mtoto alianguka kutoka juu ya mti lakini jinsi anavyoendelea kukua ndo anazidi kupinda yaani hawezi kukaa ni kusimama tu ...
  mwenye picha atuwekee tafadhari
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Nilijikuta nasali kumwombea huyu mtoto, sijui wana JF tufanyaje jamani tumsaidie huyu mtoto, nadhani mchango wetu unahitajika sana jamani. Kwa kweli kumwona binadamu na hasa mtoto anateseka namna ile nikiwa kama mzazi inauma sana.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  HUWA NI VIGUMU SANA KWA WANAUME KUTOA MACHOZI.....!Nilinynyuka taratibu nikaenda chumbani....nilipotoka hakuna pale sebuleni aliyetambua nilichokuwa nakifanya chumbani........!Nilikimbuka UJAMAA/SOCIALISM..........kuwa ndiyo jibu la mtu wa chini na wa kati.........!Isingekuwa CAPITALISM POLICY ya COST-SHARING kijana FRANK...(WAPO NA WENGINE WENGI TU) asingekuwa katika hali ile....! KISIASA.......lets rethink to revive UJAMAA KIROHO.......TZ tumrudie MUNGU KIUCHUMI.....watendaji waliingusha sera ya ujamaaTUWASAIDIE WENYE SHIDA WENGINE PIA...!
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  A u serious?????:confused::confused:
   
 7. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Naona FirstLady ameuzunishwa sana na ili tukio kiasi kwamba ameshindwa kuelewa anacho kiandika hapa!
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  asante sana CarthbertL wewe umenielewa huyu bwana EM hahaha sasa niko normal
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  nimerekebisha EM sijui nilikukwaza au kukushangaza ..ilikuwa typing error tu Bro!
   
 10. C

  Chaka Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 13, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kwa kweli mtoto analiza. ni kusimama muda wote akiwa darasani na hawezi kucheza michezo kama ya wengine.
   
Loading...